MISHE-BOY

Daimond Platnumz amenyakuwa tunzo 3 kwenye Channel O Music Awards 2014

mwanamuziki wa Tanzania Abdul Naseeb al maruf kama  Daimond ambae anasubiriwa kwa hamu na wapenzi wa Burundi kwenye show kubwa mwezi huu. ni hapo usiku wa jana  tarehe 29/11/2014 ndio ameteuliwa na kupata tunzo 3 kwenye mashindano inayo julikana kama  Channel O Music Awards 2014 nchini Afrika Kusini.

tunzo zenyewe abazo amepata uku wasanii kama Davido akiambulia kitu, ni pamoja na Most gifted comer , Most gifted Afropop  na Most Gifted Aest, ni nyimbo ya Number one ndio ilio mfanya apate izo tunzo zote 3. kwenye ukurasa wake wa facebook, Daimond amewapongeza sana mashabiki wake nakusema kwamba kila kitu anacho kifanza nikwaajili ya watanzania.
tizama orodha kamili ya washindi 


Most Gifted West Video
‘Turn Up-Olamide
Most Gifted Ragga/Dancehall
Buffalo Soulja
The Most Gifted Kwaito
Uhuru ft Oskido & Professor Kalawa -tjukutja
Most Gifted East Video 
Diamond Platnumz
Most Gifted Dance Video 
Busiswa-Ngoku
Most Gifted Hip Hop Video 
AKA- Congratulate
Most Gifted Afro Pop Video
Diamond Platnumz
Most Gifted duo/group/featurning
KCEE ft Wizkid-Pull Over
Most Gifted Video of the Year
Carsper  Nyovest- Dos Shebeleza
Most Gifted Newcomer
Diamond Platnumz
Most Gifted Male Video 
Casper Nyovest-Doc Shebeleza
Most Gifted Female Video
Tiwa Savage-Eminado

Hakuna maoni