Asalamaleko ndio jina la nyimbo yake Taylo-Six msanii kutoka Burundi
Msanii Taylo-Six tunaweza sema ni msanii chipukizi ambae anaondoka na mtindo wa Hip Hop Amerika, yupo kwenye orodha ya wasanii wa hapa Burundi ambo wanaonesha bidii na uwezo wa hali ya juu sana na hapo mbele watakua wasanii wa kubwa ambao wataitangaza Burundi kupitia muziki ususana mtindo wa hip hop. nyimbo zake anapenda sana kutumika na Dj Prince na nyimbo ambao ameitowa ivi karibuni inaitwa http://www.hulkshare.com/taylo_six/umushwanyi-by-taylo-six
amekwisha towa nyimbo zisizokuwa ndogo na ukizisikia inaujumbe mzuri wakujenga na wakupendeza uku akitumia mtindo mzuri wa hip hop na akiutendea haki.
Taylo-six ameambia blog yetu hii kwamba yupo kwenye maandalizi ya nyimbo yake Assalam alekoum itakuwa tayari mwaka wa 2015 mwezi wa kwanza.
ebu sikiliza nyimbo UMUSHWANYI ya Taylo Six :
http://www.hulkshare.com/taylo_six/umushwanyi-by-taylo-six
Post a Comment