hawa ndio wasani wa Burundi Fleva ambao wanatangaza jina zao kupitia ma vazi
Sat-b |
tukumbuke kuwa show yake Sat-b ambayo imeitwa Satura amabafle imekuwa ya kupendeza sana uku akiuza nguo zake ikiwa na jina lake na ndio maana wasanii wengine waliona ni njia nzuri ya kutangaza jina zao na kazi zao kwa mashabiki.
tumezowea kuona nchi za nje tu wasanii wakifanya kama njia fulani ya kuleta changamoto kwa wapenzi wao, na nchini Tanzania, Congo, wasani wengi sana wamefanza kama njia ya kuwatangaza uku ikiuzwa sokoni na mahali pote.
hii ni kazi kubwa sana ambao wasani wa Burundi Fleva wanazidi kuonesha ilimradi tu wapate chochote na jina zao zizidi kusikika mahali pote.
baada ya Sat-B msani Kebby Boy naye amefata mfano wa Sat-b kutowa mipira za kuvaa ikiwa na logo ya jina lake.
Mkombozi na Dj Pro nawo kwasasa ndio wamezinduwa mipira za kuvaa na makepia ikiwa na logo ya jina zao, ebu tizama gisi zinavyo pendeza na kuonesha namna gani wanaweza sana.
Dj Pro |
hii ni Kazi kubwa yake Mkombozi |
Post a Comment