MISHE-BOY

mchezaji tena nahodha wa timu ya taifa ya Afrika Kusini afariki dunia

nahodha ambaye tena ni golikipa wa Bafanabafana Senzo Meyiwa amefariki baada ya kupigwa risasi ni baada tu ya jeshi ya Afrika Kusini kuthibitisha habari hii.
katika mji wa Vosloorus kusini mwa Johannesburg ndio tukio ilo limetokea kwenye nyumba ya mpenzi wake.

Mchezaji Senzo Meyiwa mwenye umri wa miaka 27 aliichezea klabu ya Orlando Pirates na alicheza mechi 4 zilizopita za timu yake ya taifa katika mechi za kufuzu za fainali ya mataifa ya Afrika. kwa habari kamili inasemekana kwamba Senzo Meyiwa ameripotiwa kufariki wakati akiwasili hospitalini.

Mungu ailaze mahali pema pepun

Hakuna maoni