MISHE-BOY

Orange CAN 2017: orodha ya mwisho ya wagombea kuweka

shirikisho la mpira duniani FiFa imetaja nchi sita ambazo zinagombania kuhanda kombe la Afrika Can 2017, baada ya kuinyanganya nchi ya Lybia kwa usalama mdogo inayo dhuru nchi ya Lybia.Shirikisho la Soka la Afrika imezindua wito kwa kuteuliwa nchi ambao itakao andaa michuano hio.



Nchi sita ni Algeria, Misri, Ghana, Kenya, Tanzania na Zimbabwe. Kama Ghana (1963, 1978, 2000 na 2008), Misri (1974, 1986 na 2006) na Algeria (1990) tayari zimekwisha andaa kombe hii ya Can Orange.
Kenya, Tanzania na Zimbabwe hawajawahi pata neema hii ya kuandaa kombe la Can Orange.
Zambia, Mali na Ethiopia pia  zimejiondoa kwenye arakati yakungombania kuandaa kombe hii.
pengine bahati hii ikaangukia nchi ya  Algeria baada ya kukosa kuandaa CAN 2019 na 2021 Orange.
jina la nchi mwenyeji yatatangazwa mwanzo mapema mwaka 2015. 

Hakuna maoni