MISHE-BOY

kocha Patrice Carteron anatishiwa kufukuzwa kwenye klabu ya Tp Mazembe

baada ya kufanya vibaya TP Mazembe katika Ligi ya Mabingwa Afrika Orange inaweza kufanya uharibifu,
kocha mkuu wa Kunguru ( Corbeaux)  anaweza kufukuzwa uku bado mubadala wake ajatajwa.
 Klabu tangu mwaka 2013, Patrice Carteron ameshinda kuhitimu TP Mazembe katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Orange licha ya ushindi Lubumbashi katika mechi ya pili (3-2) ata ivo  ni ES Setif ambao ilipata tiketi ya kushiriki fainal baada ya ushindi wake wa awali nyumbani (2-1).
mara nne  washindi wa mashindano ya fainali na mara mbili kufika kwenye fainali, klabu ya TP Mazembe chini ya kocha wao Patrice Carteron  inazidi kudidimia kushindwa na kuendelea kushuka hasa tangu msimu uliopita wakati walipoteza katika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Orange dhidi ya  Club Sportif Sfaxien.
Vyombo vya habari imetasema jumatano hii kwamba Rais wa klabu Musa Katumbi anafikiri kumufukuza kocha wake lakini hakuna jina juu ya mrithi wake.


Hakuna maoni