MISHE-BOY

matokeo kamili ya Can 2014

ni hapo tarehe 11 october na 15 october mwaka huu wa 2014 ndio pamechezwa mechi ya kugombania tiketi ya kushiriki kombe la Africa 2015 nchini Moroko. timu ya taifa ya Ivory Cost yake Yaya Toure imepata na haibu kubwa kupigwa nyumbani dhidi na timu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yake Mulumbu (4-5), mchezaji wa Man City Yaya Toure amesikika nakusema kwamba, '' hii itakua ni mara yangu ya kwanza kupoteza mechi nyumbani kwamaana sikua nategemea na ni adhabu kubwa awa wa Kongomani wametuonesha kwenye uwanja wetu tena mbele ya mashabiki zetu''.
kocha wa Nigeria Stephen Keshi amefukuzwa kwenye uongozi wa timu ya taifa ya Nigeria, kwamadai ya viongozi na kamati nzima ya Nigeria baada yakupata ushindi dhidi ya Sudan.

ebu tizama kwamakini matokea ya michezo ya kugombania tiketi yakushiriki kombe la Afrika 2015

kundi A

tarehe 11/10/2014 :  Congo 0-2 Afrika Kusini
                                Sudan 1-0 Nigeria

tarehe 15/10/2014 :  Nigeria 3-1 Sudan
                                          Afrika Kusini 0-0 Congo

Kundi B

tarehe 11/10/2014 : Malawi 0-2 Algeria
                            Ethiopia 0-2 Mali

tarehe 15/10/2014 : Mali 2-3 Ethiopia
                              Malawi 3-Malawi 

kundi C

tarehe 11/10/2014 : Gabon 2-0 Burkina faso

tarehe 15/10/2014 : Angola 4-0 Lesotho
                                     Burkina Faso 1-1 Gabon

kundi D

tarehe 11/10/2014 : Sierra Leone 0-0 Cameroun
                            RD Congo 1-2 Ivory cost

tarehe 15/10/2014 :  Ivory Cost 3-4RD Congo
                                 Cameroun 2-0 Sierra Leone

Kundi E

tarehe 11/10/2014 : Uganda 0-1 Togo
                             Guinea 1-1 Ghana

tarehe 15/10/2014 : Togo 1-0 Uganda
                                Ghana 3-1 Guinea

Kundi F

tarehe 11/10/2014 : Mozambique 2-0 Cap-Vert
                  Niger 0-0 Zambia

tarehe 15/10/2014 : Zambia 3-0 Nigeria
                                        Cap-Vert 1-0 Mozambique

Kundi G

tarehe 10/10/2014 : Botswana 0-2 Misri (Egypte) 
              Senegal 0-0 Tunisia

tarehe 15/10/2014: Tunisia 1-0 Senegal
                                Egypte 2-0 Botwana

 mechi izi za kugombania kushiriki kwenye kombe la Afrika 2015 nchin Moroko, watarudi tena kuchuana kwenye muzunguuko wa tano tarehe 14/11/2014. kwa wapenzi wa timu ya taifa ya DR Congo watachuana na Cameroun hapo tarehe 14/11/2014 nchini Cameroun na machi ya marudio itakua mjini Kinshasa tarehe 19/11/2014 saa tisa kamili.

Hakuna maoni