MISHE-BOY

Can 2015, ratiba kamili ya muzunguuko wa tatu.


wiki hi ndio muzunguhuko wa tatu wa mtowano kwa timu za taifa ambazo zinagombania kushiriki Kombe la Afrika 2015. wiki hii kuna pambano kubwa ambao wengi wanasubiria kwa hamu sana ni kati ya Senegal dhidi ya Tunisia kwakugombania nafasi ya kwanza kwenye kundi G. na Cameroun kwakuanza vizuri tangu mwanzo itachuana na Siera Leone, kwakuongeza kitumaini ya kuendelea itabidi Cameroun ipate ushindi dhidi ya Siera Leone.

hii ndio ratiba nzima  

ijuma 10 Oktoba 2014
 
-Sierra Leone / Cameroun
-Botswana / Égypte
-Lesotho / Angola
-Sénégal / Tunisie 

11 Oktoba 2014

-Malawi / Algérie
-Éthiopie / Mali
-Ouganda / Togo
-Mozambique / Cap-Vert
-Congo / Afrique du Sud
-RD Congo / Côte d’Ivoire
-Niger / Zambie
-Soudan / Nigeria
-Gabon / Burkina Faso
-Guinée / Ghana

Hakuna maoni