kocha wa zamani wa Intamba Murugamba, Niyonkuru Armas ivi karibuni amesaini mkataba na klabu ya Djiboutie. baada ya kuto ongoza klabu yoyote hapa nchini Burundi kwa sasa amepata klabu mpya nje ya nchi ya Burundi.
kwa mjibu wa habari ya uko Djiboutie imeweka wazi kwamba klabu ya Telecom Djibouti ambao ndio klabu bingwa msimu ulio pita uko nchini Djiboutie.
kwenye iyo klabu kocha Armas awezi pata matatizo sana kwasababu ni klabu ya mchezaji wa timu ya taifa ya Burundi na amekua kocha wake kwenye timu ya taifa naye ni Nzokira Jeff na pamoja na mchezaji mrundi mwenye asili ya Kongo ya kidemokrasia Andosango Freddy ambae alikua anahichezea klabu ya LLB Academic.
kocha Armase amesaini mkataba na klabu iyo Telecom Djibouti ya golikipa Nzokira Jeff ambaye amekwisha teuliwa kama golikipa bora myaka miwili na kuvunja rikodi kubwa uko Djiboutie kama Double man.
kwa mjibu wa kamati ya klabu Telecom imefurahishwa sana na kocha huu mrundi Armase kuja kuisaidia klabu yao kwenye ligii kuu ya Djibooutie na wanatarajia mafanikio mema kutoka kwake kwasababu wamekwisha pata mafanikio makubwa kwa wachezaji warundi Nzokira Jeff ambaye ni Golikipa pamoja na Andosango Freddy ambaye ni mchezaji atari sana kwenye safu ya ushambuliaji.
|
Armase |
Nzokira Jeff :
"nimeshangaa sana na pia nimefurahi kuona kocha Armase ambaye namfahamu sana tangu kwenye ligi wakatiki akiwa kocha wa Inter Stars nami nikiwa mpizani wake kwenye klabu yangu ya Vital'o, kwasasa najisikia tena furaha kubwa kumuona anakuja kwenye klabu hii ya Djibouti, kwakweli ni kocha mzuri sana niliwahi kumuona kwenye timu ya taifa pindi nikiwa kwenye timu ya taima ya Burundi na ninaimani atazoweya ligii hii kubwa tofauti na ligi ya Burundi". amesema Jeff.
|
Nzokira Jeff |
Andosango
Freddy:
''hahahahahahahahahaha dah yaani nafurahi sana kuona kocha Armase amekuja uku kweli itakua kazi ngumu kwake kwa mwanzo ila naona ni kocha mkubwa anaweza kugeuza mambo na tukachukuwa kombe la tatu tena'', amesema Freddy
|
Andosango Freddy |
Post a Comment