MISHE-BOY

hawa ndio wachezaji 10 walio uziwa pesa nyingi mwaka huu wa ushajili

mulango wa ushajili barani Ulaya na mahali tofauti imefungwa na uku wachezaji wengi wamesajiliwa na kuweza kuonesha kiwango chao mahali pengine. rikodi ya milioni 100 ya mchezaji Gareth Bale kuelekea Real Madridi aikuvunjwa na mchezaji wowote mwaka huu. Suarez baada yakufanya vibaya kwenye kombe la dunia 2014 na kupata adhabu kali kutoka kwa shirikisho la michezo FIFA, baadae adhabu yake imesikilizwa na kupunguzwa kidogo, amefutwa machozi na klabu ya Ispania Barcelona kwa kusajiliwa pesa nyingi na kushika na fasi ya kwanza mwaka huu kama mchezaji ambae amenunuliwa pesa nyingi.

Nafasi ya pili inachukuwa na James Rodriguez baada ya kufanya vizuri kwenye kombe la dunia 2014, ambae ndiye mfungaji bora wa kombe la dunia 2014, msimu huu amesajiliwa na klabu ya Ispania Real Madridi, uku amekwisha ifungia klabu yake ya mpya goli moja tu kwenyemechi ya awali ya  fainali ya super cup ya Ispania dhidi ya Atletico Madrid. nafasi ya tatu inachukuwa mchezaji babe sana tena alikua miongoni mwa wachezaji vitegemeo kwenye klabu ya Real Madrid, Angel Di Mari,a, ila kawaida ya klabu hii ya Real Madrid nikama desturi yao inatowaga mchezaji mzuri uku wengi wakijiuliza maswali kwanini wamemuuzisha bila kupata jibu; ili tendo alikumfurahisha Christiano Ronaldo na amesikika nakusema kama ingekuwa yeye ndiye raisi wa klabu ya Real madridi angepima ata kidogo kuwauzisha wachezaji kama Angel Di Maria, Morata, Alonso.

 hii ndio orodha ya wacheza 10 ambao wamesajiliwa pesa nyingi mwaka huu wa 2014( m: milioni)

No. muchezaji kutoka katika kiwango cha usajili
1 Luis Suarez Liverpool Barcelone €88m
2 James Rodriguez Monaco Real Madrid €80m
3 Angel Di Maria Real Madrid Manchester United €75m
4 David Luiz Chelsea Paris Saint-Germain €49.5m
5 Eliaquim Mangala Porto Manchester City €44.5m
6 Diego Costa Atletico Madrid Chelsea €44m
7 Alexis Sanchez Barcelone Arsenal €40m
8 Luke Shaw Southampton Manchester United €37.8m
9 Ander Herrera Athletic Bilbao Manchester United €36.5m
10 Cesc Fabregas Barcelone Chelsea €36m

Hakuna maoni