MISHE-BOY

huu ndiye msanii wa Bongo fleva anaye kuja kwa kasi sana, akiondoka na mtindo wa HipHop


http://www.hulkshare.com/africanmishe/kuluti-ft-dulla-biano-sitokubali
ni msani kutoka Tanzania, Kwajina halisi la Peter Joseph ila  jina la usanii anafahamika kwa jina la Kuluti Mc. ni msanii anaye tokea  nchini tanzania akiwakilisha mkoa wapwani ulio pakana na jiji la dar-es-salam. ivi karibuni ametowa track mpya kabisa ambao ni njembe yake mpya inayo itwa SITOKUBALI aliyo mshilikisha msanii mweza afahamikaye kwa jina la Dula Biano, nyimbo yake mpya imefanyika katika studio za Chimbo Records chini ya Producer De booy.
ebu upate moja ya kazi yake na ukitaka una dowloand na kuishambaza kwa ma marafiki zako, hii hapa nyimbo yake
http://www.hulkshare.com/africanmishe/kuluti-ft-dulla-biano-sitokubali

Hakuna maoni