Jay-T sharo anajihandaa kupiga bonge la Show Kalemie
Msanii ambaye anajulikana kwa muondoko wa kisharobaro na uku akiwa mcheza filamu za kuchekesha, Jay-t Sharo Copy, baada ya kutowa baadhi ya track zake kama 4 ambazo ameshirikiana na msanii R-Flow na nyingine ameshirikiana na Mr Depa Mavoko, nyingine
kwa habari tumezipewa na manager wake ambaye akupenda jina lake litajwe, ametuahaidi kwamba Msanii Jay-T Sharo ivi karibuni atajielekeza nchini Congo mjini Kalemie kwa kupiga show kubwa ambao watu wengi wa hapo kalemie wanampenda sana na uku wakimufananisha na ayati marehemu Sharobario wa Tanzania. tumemtafuta msani mwenyew na ametuweka wazi kwamba
'' sikuwa nategemea kwamba nitaweza kuwa vutio kwa mashabiki wa kalemie uku hapa Burundi sijapata jina kubwa. nitaenda wiki ijao na ninatarajiwa kupiga show mbili na kutowa komedy 3 pamoja na wasanii wa uko Kalemie.''
kwa mjibu wa manager wake ametuweka wazi kwamba, baada ya msanii Lolilo kupiga show kubwa uko Kalemie nchini Congo DRC, mashabiki wengi uwa wanapiga kelele sana nakutaka kuwaona wasanii wa Burundi waje kuwapa burudani kama ile ya Lolilo uikipenda unamuita Lizzo.com.
hii ni fursa kubwa kwa wasanii wa Burundi kuonesha umahiri wao pindi wakiwa kwenye show.
kwa kumalizia Jay-t Sharo Copy amesema kwamba: kweli nilipo pata fursa ya kwenda kufanya show Kalemie sikutegemea ila nimeamini kitu kimoja kama nabii aeshimiki kwao na hii ni njia moja ya mi kwenda kuacha istori uko Kalemie na nitakuwa miongo mwa Happy Famba na Dj-Pro baada ya kuonesha kazi nzuri kwenye TV Trace Urbane ya Ufaransa.

Post a Comment