MISHE-BOY

klabu ya Flambeau de l’Est ndio klabu imetawaziwa wabingwa wa ligi kuu ya Primus League

siku ya  26  wiki ya mwisho ya ligi kuu ya Primus ligi imepambanisha klabu mbalimbali uku klabu kama 3 zilikua zinangomania na fasi ya kwanza kwenye musimamo wa ligi.
jumapili 6/7/2014 :

Buja : saha 8 : Flamengo 1 – 5 Muzinga
Buja : saha 10 : LLB Academic 1 – 0 Académie Tchite
Ruyigi : saha 10 : Flambeau de l’Est 1 – 0 Vital’o 

Makamba saha 10 : Guepiers du Lac – Inter stars huu mchezo akufanyika kwajili klabu ya Inter Star iko Bukavu nchini Condo DRC na mechi itachezeka tarehe 9/7/2014.
Buja-rural : saha 10 : Espoir 0 - 2 Athletico Olympic .
Kanyosha  saha 9 : Prince Louis itacheza na Volontaires Fc tarehe 9/7/2014.
saha 10 : I Muramvya Royal 1 - 5 Messager Ngozi.

 kwa matokeo hayo yote imeifanya klabu ya  Flambeau de l'Est kutoka Ruyigi ndio imetawaziwa washindi mwaka huu wa 20104 kwa miaka mbili mufululizo, kwa ushindi wake wa bao 1-o dhidi ya klabu ya Vital'o kwenye dakika 3 kupitia mchezaji Pascal na ndiye mchezaji anaye kimbia sana.
tuwakumbushe kuwa Vital'o na Flambeau de l’Est ndizo klabu mbili zitakazo wakilisha Burundi kwenye kombe ya CECAFA itakayo dhuru nchini Rwanda.
Huu ndio mpangilio  (Classement ) 
--------------------------------------------
1/ Flambeau 62 (+43) 26
2/ LLB 59 (+36) 26
3/ Inter star 48 (+35) 25
4/ Le Messager Ngozi 47 (+17) 26
5/  Vital’o Fc 44 (+13) 26
6/ Athletico olympic 40 (+3) 26
7/ Guêpiers 36 (+9) 25  
8/ Prince Louis 36 (+2) 25 
9/ Academic Tchite 30 (-9) 26 
10/ Muzinga 27 (-7) 26
11/ Royal 27 (-20) 26
12/ Volontaires 19 (-36) 25
13/ FLAMENGO 11 (-39) 26
14/ Espoir 10 (-47) 26
Moïse Bucumi
sherehe inaendelea kwa mashabiki wa Flambeau 

Hakuna maoni