hii ndio mafanikio ya T-max ambao ma juzi tu amefanikiwa
msanii T-max ambae anajulikana sana hapa nchini Burundi na Easte Afrika nzima, ivi karibuni tumepata fununu ya kwamba amenunua gari aina ya Passo na ni ya kwake binafsi baada yakutembelea mguu miaka nyingi. hii hapa picha za gari anayo imiliki kwa nguvu na mali yake T-max, na kuona gisi gani muziki inaanza kumtowa mbali. ndio mafanikio ya muziki
Post a Comment