msanii Chanela ivi karibuni atahaachilia song yake mpya inayo itwa Fizzo
inasemekana msanii wa kike kutoka hapa Burundi ivi yupo studio na anatarajia kutowa nyimbo itakao kuja kwajina ya Fizzo ambao ni jina ya msanii babe sana ambae amekwisha jitangaza vizuri kwenye ulimwengu wa muziki kwajina lake halisii ni Mugani desire al marufu kama Big Fizzo Burundiano, na kwenye hii ngoma yake ya mpya ya msanii Chanella ao ukipenda unamuita Chany Flow, mistari ndani ya hio song ni yakumtapa msanii mwenzie ambae wamewahi kutowa nyimbo ambao imeleta utata na mpaka ivi iyo nyimbo (what's my name) aipigwi kwenye baadhi ya ma radio, nyimbo iliopewa jina ya Fizzo yake Chany-flow uku ikileta utata fulani ya kwamba inawezekana isipigwi kwenye baadhi ya ma radio ya hapa nchini.
endapo baadhi ya ma radio ikisikitiza kutokuipiga hio track kwasababu kwamba inakuja kumtapa tu Fizzo basi wasikitize na nyimbo na video ya Chuma cha Chuma ambao wasanii wengi tena wenye majina hapa nchini walimuimbia nakumtapa sana.
kwenye ukurasa wa mtandao Burundi Fans mashabiki wameipongeza na wanaisubiria kwa hamu sana hio nyimbo ata kama awajaisikia nyimbo yote ila maneno fulani wameisikia na kusema kwamba ni jina tu inawezekana unaipa nyimbo yako jina ya Aisha na uku ukimzungumzia Aisha gisi alivyo kwa mazuri ao kwa mabaya. ivi karibuni nyimbo yake Chany-flow itakua ewani.
Post a Comment