MISHE-BOY

hii ndizo habari kuusu michezo upande wa kombe la Afrika Can 2015

mechi za mtowano ya kombe la Afrika Can 2015 inaendelea kwa kasi kubwa uku ma timu kama Congo, le Bénin na Lesotho wamekuwa na bahati kubwa ya kushiriki kwenye muzunguhuko wa mwisho, Congo kwa kuifunga Rwanda mabao 2-0 kupitia wachezaji wao Césaire Gandzé (70e) na Fodé Doré (88e), imejipatia bahati kubwa ya kuendelea na kuwa na imani ya kufudhu kwenye kombe la Afrika.
hii ndio  matokeo kamili raundi ya 2  ya mtowana:
  • Botswana 2-0 GuinĂ©e Bissau
  • Ouganda 2-0 Mauritanie
  • Sierra Leone 2-0 Seychelles
  • Lesotho 1-0 Kenya
  • Tanzanie 2-2 Mozambique
  • Congo 2-0 Rwanda
  • BĂ©nin 1-0 Malawi 
kocha wa zamani wa Intamba Murugamba ya Burundi Adel Amrouche ni raia kutoka Algeria, kwasasa ni kocha ya timu ya Taifa Harambee Stars ya Kenya, hatimaye amesimamishwa  mwaka mzima na Shirikisho la Soka la Afrika.amefukuzwa na mwamuzi wa mechi kati ya timu yake ya Kenya dhidi ya  Comoro (1-1) mwaka huu, baada yakubishana na mwamuzi wa mechi hio na sio mara yake ya kwanza ni tabia yake kudhibishana na ma refa, amewahi na ugomvi  mkali na mwamuzi wa mechi dhidi ya Nigeria mwaka wa 2013, meneja huu wa Kenya Adel Amrouche amelipa gharama kubwa ya tabia yake ya  ukosefu  wa uwajibikaji.

Hakuna maoni