baada ya kombe la dunia 2014, wachezaji wa Afrika watafutwa kwa usajili
Mshambuliaji wa Togo, Emmanuel Adebayor, analazwa katika hospitali ya Uingereza, ambapo anaendele kupata matibabu anaumwa malaria. inasemekana awezi kushiriki kwenye mechi ya klabu yake dhidi ya
Seattle, Toronto na Chicago nchini Marekani.
mchezaji mwenye asili ya Algeria na mwenye umri 27, Rafik Halliche ambae wengi wamemuona kwenye kombe la dunia akifanya vizuri sana, kwasasa amesajiliwa na Qatar SC.
mshambuliaji wa Togo, Jonathan Ayité, amesajiliwa na klabu ya Uturuki Alanyaspor kwa mkataba wa miaka mbili na nusu na ameachiliwa huru na klabu yake ya Stade Brestois baada yakuichezea miaka tatu.
mchezaji wa Zambia, Nathan Sinkala ivi karibuni amesajiliwa kwa miezi 6 tu kwenye klabu ya Suisse Grasshoppers Zurich, ametokea kwenye klabu ya Sochaux ya Ufaransa uku akiwa mali ya klabu ya congo Tp mazembe, inasemekana anakwenda nafasi ya mukongomani Toko Nzuzi ambae amesajiliwa na klabu ya UIngereza Brighton and Hove Albion.
wachezaji wawili wa Algeria Djamel Abdoun na Rafik Djebbour, ambao wanaichezea klabu ya Nottingham Forest ya Uingereza ligi ya daraja ya pili, wameoneshwa mlango wakutoka kwenye hio klabu baada ya klabu kuleta kocha mpya Stuart Pearce, ameihambia viongozi kwamba wachezaji awo wa wili kutoka Algeria awataki ata kidogo. kwasasa wako huru.
mchezaji wa Maroc, Mehdi Benatia ambae anagombaniwa na klabu nyingi za Ulaya(Barcelona, Bayern Munich, Chelsea) uku akiichezea klabu yake ya As Roma ya Italia, kwenye mazowezi ya kwanza ya klabu yake ameonekana akifanya mazowezi, mashabiki wakimusihi ili abaki kwenye klabu huu mwaka na uku wakiandika ujumbe mfupi kwenye bango: Benatia endelea kuitetea jezi, As Roma inakupenda na imekusamehe
Tunasubiri jibu ya mchezaji ambae amekwisha tangaza niha ya kuihama klabu yake ya AS Roma
beki wa timu ya taifa ya Ivory Cost, Benjamin Angoua; leo hii amesajiliwa na klabu ya Avant Guingamp, akitokea kwenye klabu ya Valence na akiwa na umri wa miaka 27, amejiunga na valence klabu ya Ufaransa tangu 2010 na amecheza mechi 106, na akupata bahati ya kuitwa kwenye kombe la dunia huu mwaka uko nchini Bresile.
mchezaji wa Algeria, Yacine Barhimi, baada ya kufanya kombe la dunia vizuri, ametafutwa na klabu nyingi za Ulaya ila amependelea kujiunga na klabu ya Fc Porto ya Ureno uku akitokea kwenye klabu ya FC Grenade ya nchini Ispania.
ligi ya mabingwa Caf Orange inaendelea ivi ndivyo orodha ya mapambano itakavyo cheza.
tutazidi kuwapa habari ya usajili ya wachezaji wa Afrika ambao wanao cheza mpira wakulipwa ugenini na ata hapa Afrika sehemu mbalimbali.endelea kufatilia habari zetu ukipata mengi kwenye page ya facebook Burundi Fans

Post a Comment