habari za usajili upande wawachezaji wa Afrika
Golikipa mwenye asili ya Algeria, Raïs M’Bolhi akiichezea klabu yake ya CSKA Sofia, na ameteuliwa kama golikipa bora mwa Afrika na pia mchezaji bora kwa mjibu wa mtandao Star Afrika, baada yakutafutiwa na klabu nyingi za ulaya Porto na Benfica, uku akiipiga teke na kukataa hofa izo zote na kwasasa amekubali hofa ya klabu la MLS ya Umarekani. kwa mjibu wa mtandao la Footmercato, inabaanisha kuwa Raïs M’Bolhi atasajiliwa na MLS kwa 300 000 €, na ata saini kandarasi ya miaka tatu..
.Mustapha Yatabaré ni raia kutoka Mali, baada ya kuichezea msimu ulio pita klabu ya Al-Arabi la Qatar, ivi karibuni anatarajia kurudi Ufaransa kwenye klabu ya Guingamp, inasemekana mchezaji .Mustapha Yatabaré akuwa na maelewano na viongozi wake wa Al-Arabi ya Qatar.Bertrand Desplat raisi wa klabu Guingamp ya Ufaransa amesema kwamba, nafurahi kumuona tena huu mchezaji kwenye klabu yangu na atakuwepo kwenye pambano dhidi ya PSG tarehe 2/08/2014.
Christian Atsu Twasam, amesajiliwa na chelsea ya Uingereza akitokea Porto, ni raia wa Ghana na amekuwepo kwenye kombe la Dunia nchini Brazilia na akionekana odari sana na kutafutwa na klabu nyingi za Ulaya, baada ya kuazimwa na klabu yake ya chelsea mwaka ulio pita kwenye klabu Vitesse Arnhem ya Holland na kwasasa huu mwaka atahazimwa tena kwenye klabu yoyote huu msimu na klabu kazaa zimeanza kumuomba kama Aston Villa, Everton na West Ham
muchezaji wa kiungo wa Volyn Lutsk mwenye asili ya Nigeria, inasemekana anakimbia klabu yake kwa madai ya ukosefu wa amani nchini Ukraine, na siye wa kwanza kuimbia klabu Volyn Lutsk na pia mchezaji mwenzie Eric Bicfalvi mwenye asili ya Roumania na raia wa Brazilia Ramon Lope.
kwajili ya ukosefu wa mda mwingi wa Andy Caroll, mchezaji wa West Ham ya Uingereza, klabu iyo ya West Ham ipo mbioni kwakusajili mushambuliaje umoja na mchezaji anaye tafutwa sana na West Ham ni mshambuliaje wa Sportif Sfaxien ni Fakhreddine Ben Youssef ni raia wa Tunisia ambaye inasemekana eko na mtindo umoja wakucheza kama mchezaji wa zamani wa Liverpool Andy Caroll ambaye kwasasa yupo kwenye matibabu kwa maradhi inayo musumbuwa.
amekua huru siku nyingi mchezaji wa timu ya taifa ya Ivory Cost, Didier Zokora amekuwa nyumbani Abidjan kwa kombe ya football ambao imekwenda kwajina lake ya wachezaji wenye umri chini ya miaka 15. baada ya kucheza nchi mbalimbali kama Belgique, France, Angleterre, Espagne na Turquie, kwasasa ameamua kujiunga na klabnu ya Emirats.
Post a Comment