MISHE-BOY

hawa ndio ma refa wa 5 kutoka bara ya Afrika

Fifa imeweka wazi orodha ya ma refa ambao watakao simamia kombe la dunia 2014 nchini Brazilia. kwenye orodhao ya wa refa 28 kutoka nchi 43, kwenye orodha hio kunapatikana warefa 5 kutoka bara ya Afrika na wasaidizi wao uku akuna ata refa umoja mfaransa.

1.Noumandiez Doue(Ivory Cost)

2.Papa Gassama(Gambia)

3.Djamel Haimoudi (Misri)
Refa Djamel Haimoudi ndiye aliye teuliwa refa bora barani Afrika 2012 na 2013

Songuifolo Yeo

Jean Claude Birumushahu (Burundi)

tuwafahamishe kuwa  refa kutoka Burundi atakuwa ni musaidizi wa Noumandiez Doue pamoja na Songuifolo Yeo.
refa Gassama atakuwa na wasaidizi  Evarist Menkouande pamoja na refa kutoka Rwanda Félicien Kabanda

Evarist Menkouande(Cameroun)

Félicien Kabanda(Rwanda)

Djamel Haimoudi naye atakuwa nawasaidi Abdelhak Etchiali pamoja na Redouane Achik

Abdelhak Etchiali(Algerie)

Redouane Achik (Maroc)

4.Daniel Bennett( Sud-Afrique)

5.Neant Alioum
 Neant Alioum na Daniel Bennett watasimamiwa na wa refa wa wili moja ni kutoka Sénégal Djibril Camara na mukenya Marwa Range
 wafaransa wamepigwa na butwa kuona ata refa umoja akuorozeshwa kwenye kombe la dunia nchini Brazilia, na ni mara ya kwanza baada ya miaka 40 ichi kitendo kutokea na uku wakijigamba kuwa ma refa wao ni wa bora zaidi ya wengine duniani.

hii ndio orodha kanuni ya ma refa wa katikati ( la liste des arbitres centraux)
Europa: Brych, Cakir, Eriksson, Kuipers, Mazic, Proenca, Rizzoli, Carballo and Webb.
Afrika: Doue, Gassama, Haimoudi.
Océania: O’Leary
Amerika ya kusini: Osses, Pitana, Roldan, Ricci, Vera Rodriguez.
Amerika ya Kaskazini: Aguilar, Geiger, Rodriguez Moreno.
Asia: Irmatov, Nishimura, Shukralla and Williams.

Hakuna maoni