MISHE-BOY

mupigieni kura mwanamziki Sat-B kwenye tuzo ya Kora Award


mwanamziki Bizimana Aboubakar Karume kwajina maharufu sana hapa nchini na nje ya Burundi ni Sat-B, kwa sasa anaonekana msanii wa hatari sana hapa nchini tukilinganisha nawasanii wengine. kwa sasa yupo kwenye orodha ya wasanii wanao gombania tuzo ya Kora Awards na kila mara ukitizama gisi kura inaendelea Sat-b anazidi kupiga atuwa kubwa, ni kwajili ya wazalendo na mashabiki wa muziki ya kizazi kiya kumuunga mkono kwa kumupigia kura.
habari inayo zagaa mitahani nikwamba kuna baadhi ya watu wanahanza zao kusema kwamba hii Tuzo ya Kora Awards sio ya ukweli, awo ni watu ambao awakupenda kuona mwanamuziki Sat-b aweze kuwekwa kwenye orodha ya wagombea waheshima barani Afrika na dunia nzima, akuna sababu ya kupinga sio yeye amejiweka hapo halipo ni uwezo wa kazi yake ndio imemupa iyo eshima ya kuwepo kwenye orodha moja ya wasanii kama Fally Ipupa, Werra Son, Koffi Olomide, Cano na wengineo,  ila ujuwe kwamba ni Tuzo ya ukweli na palipo maendeleo wenye wivu wamaendeleo lazima wajitokeze. kama kweli tunapenda jina Ya Burundi izidi kusikika duniani pote lazima tumupigie kura kwa sana msani wetu Sat-b, kwamaana ana wakilisha nchi nzima ya Burundi. kuna baki siku chache tu, tunaitaji mafanikio mema ya kijana wetu.


 mapenzi mapenzi mapenzi! niatari ukisoma tu unaweza kujuwa ni nani tunataka kumuzungumuzia, mapenzi inaweza kukufanya wewe kama chizi na kufanya mambo tofauti na desturi na mila ya kwenu. hayo ndio imemkuta Miss London kwajina lake halisi ni Adidja, aliwahi kuwa mpenzi wa msaniii maharufu sana hapa Burundi, Lolilo alias Mzizi wa Jiwe ao mzee wa Lizzo.com. kwa sasa mapenzi imebadilika baada ya kuzaa na msanii Lolilo kwa sasa anatamba sana kwa mapenzi na msanii Black-G ao Black Afrikano, mapenzi yao imekuwa inasikika kama utani fulani ukitizama umri wa Adidja na Black-G, ila dogo Black-G ajali umri bali anajali mapenzi kutoka kwake Miss London ambae anampenda sana mpaka anaitika lawama nakuandika kwenye kiuno chake jina ya Black Afrikano kwa kuonesha mara ngapi anamupenda mpenzi wake Black Afrikano.
inasemekana msani Back-G na Lolilo wako na udungu fulani na kwasasa Lolilo anatamba na murembo umoja hapa nchini anaye julikana kama Loliane, na ana amu yakufatilia mapenzi ya Black-G na Miss Afrikano.


Hakuna maoni