habari ya michezo mbalimbali za kombe la dunia
mchezaji Marcelo mwenye asili ya Brazili mwaka huu wa 2014 ndiye mchezaji aliye funga goli ya kwanza kwenye kombe la dunia 2014 inayo chezeka nchini mwao Brazilia. Marcelo amechukuwa zawadi kwa kinyongo sana kwamaana ni desturi ya kupewa zawadi kwa mchezaji wowote ambae amefunga goli la kwanza kwenye hio mashindishano ya kuwa mchezaji aliye funga goli la kwanza kwenye kombe la dunia. kwenye dakika 11 ya kipindi cha kwanza kwenye mechi ya ufumbuzi kati ya wenyeji Brazilia dhidi ya Croatia, mpira umezunzwa na mchezaji Olic ambao Jelavic akuweza kuichukuwa, kwa bahati mbaya mlinzi wa Real Madrid Marcelo amejikuta amejifunga goli kwenye lango lao, kwa msimu huu ameteuliwa kama mchezaji aliye funga goli ya kwanza kwenye kombe la dunia 2014 na ndiye mchezaji wa kwanza kutoka brazil kujifunga goli kwenye kombe la dunia. apajawahi kutokea mchezaji wa brazil kujifunga goli kwenye lango lao. baadae wameweza kujituma na kupata ushindi wa bao 3-1 kwa ushindi wa Brazilia.
mchezaji wa Naple ya Italia Gonzalo Higuain wa timu ya taifa ya Argentine, kwasasa uwepo wake upo mashakani kwenye mechi ya kwanza dhidi ya Bosnie usiku wa leo ijumaa pili 00h00. Gonzalo Higuain anamwezi umoja achezi kwa usumbufu wa jeraha inayo mukabidhi, kocha wa Argentine anategemea sana aweze kumuanzisha kwenye safu ya ushambuliaji pamoja na Messi na Agüero. upande wa Messi yupo safi kistamina na anangojelewa kufanya vizuri baada ya Neymar na Van Persie ata Baloteli kufanya vizuri kwenye mechi zao za awali..
mchezaji wa Croatia, Modric yupo mashakani kwenye mechi mbili zinazo baki kwenye kundi A, baada ya mechi dhidi Brazilia ameweza kuumia kwenye mguu wake, kwa sasa yupo anapata matibabu ila uwepo wake kwenye mechi ya pili dhidi ya Mexique ijuma tatu hii kwenye kundi A inawezekana asishiriki mechi hio.
mchezaji wa zamani wa Ufaransa Nicolas Anelka, kwasasa ameweka wazi timu
ambao anayo ishabikia kwenye kombe ya dunia, sio timu yake ambao
amewahi kuichezea baada ya miaka 4 kuwekwa kando na timu yake ya
Ufaransa. ameonekana uku akivalia jezi ya timu ya taifa ya Ubelgiji
(Belgique).
kwa sasa yupo matembezini mwa jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, mshambuliaji huu mfaransa ayupo brazil na timu ya Ufaransa ila yupo Afrika, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo alikwenda kwa kusaidia kazi ya msingi ya mmoja wa wachezaji wake wa zamani kwenye klabu ya West Bromwich Albion (WBA), Youssouf Mulumbu.
Foundation ya Youssouf Mulumbu. ilikuwa haijulikani mpaka siku za karibuni, alipata tangazo kubwa kupitia uwepo wa Anelka nchini Congo.
endapo aukuweza kuona machi dhidi ya Ivory Cost vs Japan, basi tizama kwa picha hapa.
tuwafahamishe kuwa machi imemalizika kwa ushindi wa Ivory Cost 2 na moja ya Japan, baada ya kipindi cha pili ndipo Drogba aliingia uku walikuwa wamekwisha pigwa goli moja ya Japan kupitia mchezaji wao Honda 16', baada Drogba ameleta mchango mkubwa na kupata goli 2 mu dakika 2, moja ya Wilfried Bony 64' na Gervinho 66'.
duh kazi hipo |
Post a Comment