wasanii wa Burundi Fleva wanachoka ebu tizama maneno ya Kebby
msanii wa kizazi kipya Kebby Boy, ameposti maneno mazito sana kwenye ukurasa wake wa Facebook, ukichunguza maneno yake alivyo andika ina lengo moja na iyo ya msanii mwenzie Sat-b.
kweli wasanii wa Burundi Fleva wanajituma ipasavyo kwenye hii game kwa kutowa traks nyingi ila awapati chochote na wanazidi kusindikiza wengine.
hi hapa kauli yake pekee yake msanii Kebby boy kwenye ukurasa wake wa Facebook ameweza ku post na ku share :
Dah!alichokifanya raisi wa tz kwa msanii diamond ni faida kwa wa tanzania wote,ila nasikitika saana maana kwa upande wa inchi yetu ni tofauti kabisaaa,masikini ya mung sisi tunaagiza sauti zetu ila hazifiki,tunasikika saana ila hatutazamwi,na ku jenga majina mfano kama vile kuandika maandishi kwenye mchanga,upepo ukipita ndo basi,ivi kwanini shabiki wa buja flava ananyimwa haki yake?ya kumuona msanii anaempenda akipiga hatua kimaisha ama kimziki?mi nawapa pongezi saana wasanii wenzangu woote walio faulu mtihani wa kuyajenga majina yao kwenye jiwe hili la glass(barafu)bila kufutika hadi wakati wa kipwa,pongezi pia kwa shabiki wa buja flava anae zidi kutowa sapoti kwa wasanii wao bila ata yakujali kwamba bado wanatembeya kwa mguu.Na one day buja flava itakuja kombolewa na yule ambae msiye mfikiriya nyinyi inshaallah..!
ukichunguza vizuri unaona kwamba wasanii wa Burundi Fleva wanamajonzi mengi sana mpaka kwa sasa wanaanza kuya weka wazi kwa maana wahenga wamesema ''muficha maradhi kifo kinamufumbuwa''.
nini kifanyike ili tuone wasani wa Burundi Fleva wakitembeleya ma gari zao ao wa kijenga nyumba zao nzuri isiwe wasanii wa ma clip ukiwaona mutahani tofauti na kabisa na kazi yao tunayo ipenda na kuwashabikia.
dawa moja msanii Sat-b ameweza kuitangaza naye kwenye ukurasa wake wa kijamii wa facebook ila baadhi ya waandishi na mashabiki wameichukulia utofauti na kuja kumukashfu Msanii sat-b kwamba amefulia na anaomba msamaha ili wamusaidie.
Sat-b alipo ojiana na baadhi ya waandishi wa habari ameweka wazi kwanini ame post iyo habari ya kuomba msamaha sio kwajili amewaogopa ao amefulia yeye aitaji msaada wowote wakipesa ila ametaka kuweka wasanii wote wawe kitu kimoja (urunani) ili kupiga vita hii tendo inayo wa zaralilisha kwa kuwapa wasanii ao kuita wasani wa nje (Jb Mpiana, Jaguar, Daimond,...) waje kupiga show hapa nchini na kuwapa pesa nyingi sana wakati mtoto msanii wa hapa anaweza kufanya show nzuri na izo pesa zikamusaidia yeye kuendeleza maisha yake kwamaana yeye analipa OBR na anawekeza mchango mkubwa kwa taifa nzima.
tuache kuita wa nje wakati wasanii wenu wanafanya vizuri sana, kwanini Bongo awaiti wasanii wetu? acheni kujipendekeza kwa wengine tupende kazi ya nyumbani.
hii commenti imekuja kuelemisha wengi, alipo commenti maneno ao kilio cha Kebby Boy.
De Windowz: chamuhimu acheni kupondana ndo mana hamfiki sehumu yoyote peaneni pongezi ili kuongezea fikra kwa msanii yeyote buja kisha mtafika mbele ila mkikalia majungu namtoki hapo mlipo.amemalizia na kuomba pia radhi kwajili izi siku ukimuongoza msanii anaweza kukutungia wimbo wamatusi na bifu ikaanzia hapo na kusahau lengo lake ni yakufanya kazi ili kesho imusaidie. Ndugu De Windowz amemalizilia na kusema: ni mawazo jamani isiwe chuki kwangu

Post a Comment