MISHE-BOY

Intamba Murugamba imeendelea kambini ili kujihimarisha vizuri kwa machi ya marudio

mechi kati ya Burundi Na Botswana imelizika kwa tasa ya bilabila hapa nchini Burundi  tarehe 18/05/2014.
timu ya Burundi imejijenga ki stamina kwakuita wachezaji mbalimbali kutoka nje ya nchi na wanao uzoefu mkubwa. kwenye horodha ya wachezaji 18 wengi nikutaka nje ya nchi na kuna bahadhi ya wachezaji awakuwasili hapa Burundi na wengine wanaumia kama Papy Faty anaye cheza Sauza Afrika, na Kaze Demunga Gilbert/Tanzania, Saidi Ntibazonkiza na wengine wachezaji awakufanikiwa kuwasili kwa matatiwo kidogo ya usafiri kama Johane wa Portugal, Nzokira Jeff wa Djibouti na Gael wa Uingereza. mechi ilikua ya kupendeza, mashabiki wamekuwa wengi sana kusapoti timu yao ya Taifa na wachezaji wamecheza vizuri ila sio sana kwa maoni ya watu na viongozi pia.
mtindo wa Burundi walikua wanacheza wakiwa wanaupungufu wa wachezaji kama wa 2 uwanjani, hapa tunamzungumzia Saidi Ntibazonkiza, ambae yeye akuweza kuja kucheza na akaweka wazi kuwa mechi ya marudio nchini Botswana atakuja kujiunga na Timu ili kutafuta ushindi endapo ata ya goli moja ugenini.
kwenye safu ya ushambulizi wamekosa mpira nyingi yaani wachezaji wakiungo awakuwa na umahiri wakucheza kama Saidi na Papy Faty. mechi mengi ya Intamba pakiwemo mchezaji Faty na Saidi, mchezo unakuwaga wakutisha kwenye safu ya ushambuliaji na hapo ndipo anaonekanaga sana mchezaji hatari Seleman akisumbuwa lengo ya wapinzani.
mechi imemalizika kwa bilabila na uku imani ikiwa ndogo sana ya kuweza kupata fursa ya kupita kwenye hii raund ya kwanza, ila kila kitu kinawezekana na wachezaji wa wameendelea kambini ili kujijenga vizuri kwa mechi ya marudio.
huu ndio mpangilio uliokuwa wa machi ya Burundi vs Botswana (0-0) kwenye Uwanja wa Prince Louis Rwagasore mjini Bujumbura
hii ndio orogha na picha ya wachezaji 18 walio teteya nchi ya Burundi( mechi ya awali)

ARAKAZA Mc Arthur (19ans, Flambeau de l'Est, Burundi) Goli kipa

BIHA Omar (28ans, Vital'O FC, Burundi) Golikipa

HARERIMANA Rashid Leon (20ans, LLB-Academic, Burundi)


NIZIGIYIMANA Karim  Mackenze ( 25ans, Rayon Sport, Rwanda)

HABARUGIRA David (26ans, Rwdm Brussels, Belgique)

                                NSABIYUMVA Frederick (19ans, Jomo Cosmos, South Africa)




NAHAYO Valery (30ans, La Gantoise FC, Belgique)



                                  NDIKUMANA Yussuf Lule (21ans, LLB-academic, Burundi)

 
NDUWARUGIRA Christope  Lucio (20ans, Chibuto FC, Mozambique)

KAVUMBAGU Didier (26 ans , Azam Fc, Tanzania) 

TAMBWE Amissi ,(26ans , Simba Sc, Tanzania)

KWIZERA Pierre ( 23ans, Afad Djekanou, Cote d'Ivoire)
   
NZIGAMASABO Steve (24ans, Vital'O FC, Burundi)

Armel DRAGAU (23ans, FC Outre mont, Canada)


                                         CEDRIC Amissi (24ans, Rayon Sport, Rwanda)

Fiston Abdoul Razzak
Fuady
NDIKUMANA SELEMANI
orodha itaongezeka kwa machi ya marudio. hii ni mechi za mtowano kwa kugombania tiketi ya kufuzu kombe ya kimataifa la Afrika yaani Can2015.


 

Hakuna maoni