tizama orodha ya wa kocha wa ma golikipa wanao pata mafunzomataifa
ni mpango muzima wakuwapa mafuzo bahadhi ya wa kocha wa hapa nchini Burundi. stage yenyewe imeanza tarehe 19 mpaka tarehe 24/05/2014. kuna bahadhi ya wachezaji walio pata sifa nyingi hapa nchini na nje ya nchi kwa sasa wamestaff na wameingia kwenye mafunzo ya ukocha hapa namzungumuzia kama VLADIMIR , amekuwa golikipa wazamani wa Intamba na amecheza kwenye bahadhi ya klabu za Tanzania na pia golikipa wazamani wa Vital'o Amidou Hassan, wote hawo wapo kwenye hii orodha
NIYONKURU VLADIMIR |
1.
NDIKUMANA BAKARI
2. PETER ISMAIL
3. BIGIRIMANA JEAN CLAUDE
4. MANIRAKIZA ERICM’BAYA
5. BIMENYIMANA ROBERT
6. BIPFUBUSA METHODE
7. NGEZE SULEYMAN
8. MUHIMPUNDU RASHID
9. ALI KHALFAN
10. NIYONKURU VLADIMIR
11. NIYIBIMENYA DANIELLA
12. NIMBONA MARTINE
13. NDAYIRAGIJE ETIENNE
14. MWAMBA ALBERT
15. KAZADI MWILAMBWE
16. NIMUBONA THIERRY
17. RUGERAMIGAB RICHARD
18. NDIKUMANA MADJIDI
19. MTAMAGIRO FUNDI MORISHO
20. NDAYIZEYE MWANZA ADOLPHE
21. SAMUEL GAUTIER
22. NZEYIMANA MAILO
23. NDAYISENGA ONESIME AIME
24. NGABONZIZA DIOMEDE
25. NDIKUMANA JEAN CHRISTOPHE
26. NDUWANTARE ISMAIL JEAN MARIE
27. ISMAIL MATATA
28. NIYONZIMA KHALIDI
29. NIYONZIMA DOMINIQUE
30. MUPENDA MOHSIN
31. AMIDOU HASSAN
32. IRAMBONA
MASSOUD
Post a Comment