MISHE-BOY

hawa ndio ma pro wa Burundi walio wasili kwa pambano dhidi ya Botswana

hawa ndio ma pro wa burundi walio wasili kwa pambano dhidi ya Botswana, mechi inapangwa hapo tarehe 18/05/20155 nchini Burundi kwa mechi ya awali.
kwa hii picha utakuja kuwaona wachezaji wa fuatao
1. DiDieu Kavumbagu (Tanzania), 2. Dragau ( Quebec - Canada ) , 3. Nahayo Valery ( Belgique), 4. David Habarugira ( Belgique)
na huu mchezaji anatoka Belgique mu klabu ya BLUE STAR BRUXELLES ya daraja ya pili.
wengine ni hawa hapa wamekwisha wasili na wachezaji wengine nikutoka hapa nchini

Fuady (Rwanda)

Fiston Abdul Razzak

 NDUWARUGIRA Christophe Lucio (Mozambique)

 
  NSABIYUMVA Frederick ( South africa )

Pierre KWIZERA (Cote d’Ivoire )

 Yamin Selemani NDIKUMANA ( Albania )
 
wengine watawasili kwa pambano yamarudio.

Hakuna maoni