TIZAMA MATOKEO YOTE YA MECHI YA URAFIKI YA KIMATAIFA
ni hapo tarehe 5/03/2014 ndipo pamefanyika mechi nyingi sana ya Kimataifa upande wa ma timu ya Taifa.
wachezaji wengi ambao wanajulikana kwenye ulimwengu wa soka mahali pote duniani, baadhi yao wamefanya vizuri kwa kuonesha ubabe wao kwenye timu zao za taifa.
kwanza ni mchezaji Mrundi Ntibanzonkiza Saidi, ambaye baada ya timu yake ya Burundi kufungwa goli dhidi ya Rwanda kwenye kipindi cha kwanza kwenye dakika ya 15, amekuja juu sana nakutafuta goli yakusawazisha ili kuondowa haibu kwenye timu yake ya taifa. amefunga goli lake nzuri sana kwenye dakika ya 25, endapo angemalizia mechi bila kuumia angewezesha timu yake kupata ushindi, na mechi imekwisha kwa bao 1-1.
kwa upande wa Ulaya nyota wa real Madrid amezidi kuonesha umahiri wake wakufunga magoli, kwenye mechi ya timu yake ya taifa ya Portugal dhidi ya timu kutoka Afrika ya Cameroun yake mchezaji wa chelsea Samuel Eto'o, Christiano ronaldo ameoesha ubabe wake kwa kufunga ma bao 2 (1-0, 21e, na 5-1, 84e). na kw mabao yake ayo ma wili, amekuwa mchezaji wa kwanza kwa historia ya wafungaji bora kwa nchi yake na ivi ameeneza ma bao 49 kwa kuitwa kwenye timu ya taifa mara 110.
Neymar anazidi kuonesha ubabe wake kwenye timu ya taifa na kujipatia sifa nyingi sana nchini mwake, brazili imecheza na timu ya taifa ya South Afrika, na mechi ikaisha kwa mabao 5-0 kwa ushindi wa Brazil, star wao Neymar (40e, 46e na 90e+1) amejifungia mabao 3 pekee yake nakushangaza watu wengi walio udhuria iy mechi kwa mambo yake ya kuvuruga ma beki. na mchezaji Oscar na Fernandinho wakafunga kila umoja bao moja moja.
wachezaji wengi ambao wanajulikana kwenye ulimwengu wa soka mahali pote duniani, baadhi yao wamefanya vizuri kwa kuonesha ubabe wao kwenye timu zao za taifa.
Saido & Mh Raisi Nkurunziza |
kwanza ni mchezaji Mrundi Ntibanzonkiza Saidi, ambaye baada ya timu yake ya Burundi kufungwa goli dhidi ya Rwanda kwenye kipindi cha kwanza kwenye dakika ya 15, amekuja juu sana nakutafuta goli yakusawazisha ili kuondowa haibu kwenye timu yake ya taifa. amefunga goli lake nzuri sana kwenye dakika ya 25, endapo angemalizia mechi bila kuumia angewezesha timu yake kupata ushindi, na mechi imekwisha kwa bao 1-1.
kwa upande wa Ulaya nyota wa real Madrid amezidi kuonesha umahiri wake wakufunga magoli, kwenye mechi ya timu yake ya taifa ya Portugal dhidi ya timu kutoka Afrika ya Cameroun yake mchezaji wa chelsea Samuel Eto'o, Christiano ronaldo ameoesha ubabe wake kwa kufunga ma bao 2 (1-0, 21e, na 5-1, 84e). na kw mabao yake ayo ma wili, amekuwa mchezaji wa kwanza kwa historia ya wafungaji bora kwa nchi yake na ivi ameeneza ma bao 49 kwa kuitwa kwenye timu ya taifa mara 110.
zlatanesque |
timu ya taifa ya Ufaransa imefanya vizuri sana kwa kupata ushindi wa bao 2 bila dhidi ya uholanzi, timu yake van Persie wa Man United ambaye akuonekana sana mbele ya mabeki wa Ufaransa. Ufaransa imechezesha wachezaji wa 3 kwenye ushambuliaji Valbuena-Benzema-Griezman na ikawapa shida sana ma beki wa Uholanzi, sansana huu Griezman ambaye ni mara yake ya kwanza kuitwa kwenye timu ya taifa senior na ameonekana kama kudhibiti vizuri post yake. ma bao imefungwa na Benzema mchezaji wa Real Madrid ya Ispania na Mchezaji wa PSG ya Ufaransa Blaise Matuidi ambaye ndio goli nzuri, mjini Ufaransa wanaiyita "zlatanesque", ni mchezaji Zlatan Ibrahimovic Ndiye anapenda kufunga mabao ya ewani. | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
upande wa Isapania na mchezaji wao Diego Costa ambaye ni mara yake ya kwanza kuichezea na kuvaa jezi ya Ispania, ila kwa mchezaji ambaye amezoweya kufunga kama afungi anakuaga kama anaumwa na ndio iliyo mtokea Diego Costa muispania ila mwenye asili ya Brazilia, amemaliza mechi ila ametoka kama akufurahia kutofunga. Ispania imeonekana kudhibiti sana, Italia wameonekana wameshindwa kabisa na iyo yote ni kwa mchango sana wa wachezaji wa Barcelona wa 2 na wa Man City umoja (David Silva-Pedro-Iniesta). mechi ikamalizika kwa mabao 1 bila kwa ushindi wa Ispania na pedro ndiye aliifungia timu yake ya taifa ya Ispania. | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
ungereza imekuja kufunga goli kwenye dakika ya mwisho baada yakucheza dakika nyingi wakikosewa sana na ndipo mchezaji wao Daniel Sturridge akafunga goli kwenye dakika ya 82; ikapelekeya timu yake kupata ushndi dhidi ya Danemark | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Ivory Cost imefanya vizuri kwakutoka 2-2 dhidi ya Ubegiji timu ya mzee wa kazi Hassard. mpaka dakika kama 60 Ubelgiji imekua imekwisha ilaza Ivory Cost bao 2-0, bao ya kwanza amefunga Fellaini kwa kicwa kwenye dakika ya 16, na la pili ikafunga Nainggolankwenye dakika ya 51. ndipo mzee wa kazi Hazard akaingia kwenye dakika ya 62 ila akubadili kitu ila Mzee wa wazee Didier Drogba akaingia kwenye kipindi cha pili na kupata goli lake kwenye dakika 74 na baadae kwenye dakika ya nyongezo ndipo Stéphanois Max-Alain Gradel akasawazisha goli na mechi ikamalizika 2-2. | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Argentine imekosea sana ila wakaja kujikuta wamemaliza mechi bila kufunga dhidi ya Roumanie, ma star kama Messi, Higuain, Agüero, Di Maria, Lavezzi na wengineo ila wamejitaidi sana kushambulia ngome ya Roumania ila bila mafanikio yoyote na kutoka tasa ya 0-0. | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
TIZAMA MATOKEO YOTE YA MECHI YA URAFIKI YA KIMATAIFA | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||

Post a Comment