MISHE-BOY

habari mbali mbali za michezo

mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Nigeria, Nwankwo Kanu, amefanyiwa operesheni kwa mara nyingine tena kwenye Moyo wake mwishoni mwa wiki iliyopita. kwa mujibu wa  Onyebuchi Abia, ni mratibu wa Kanu kwenye Heart Fondation alisema kwamba:
 ni marekebisho ya tatizo ya moyo wake, mshambuliaji wa  zamani wa Arsenal .
tukumbuke kuwa  Kanu amewahi kupata mpira wazahabu wa Afrika 1996 na 1999 na amewahi kupata upasuwaji wa moyo baada ya madaktari wa Inter Milan wamegundua  kasoro ya moyo wa Kanu wakati wa uhamisho wake mwaka wa 1996. Hii pia ni moja ya sababu ya kuwa kumpeleka kujenga msingi wa jengo lake mwenyewe , ambayo ni Hospitali yake binafsi.kwa sasa, ana umri wa miaka 37, na alishinda kombe ya michezo ya Olimpiki ya mwaka wa 1996 na Nigeria timu yake ya taifa  na akachukuwa Ligi ya Mabingwa mwaka wa 1995 na Ajax na Kombe la UEFA mwaka 1998  na Inter Milan, amejiunga na Arsenal mwaka wa 1998-2004 na akajiunga na West Bromwich Albion mwaka wa 2004-2006 baada ya hapo akajiunga tena na Portsmouth mwaka wa 2006-2012 zote za Ungereza. na kwasasa ni mstafu.

mchezaji hatari sana tena kijana wa klabu ya Olympiakos, ambao wenye walishuhudia pambano ya ligi ya mabingwa kati ya Man United vs Olympiakos, wamemuona uyo kijana ambaye amesumbuwa sana beki ya Man United.
ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 21 raia wa  Nigeria, klabu yake imeingia na wasiwasi wa mshambuliaji Michael Olaitan kuanguka peke yake katika uwanja wa  Piraeus Jumapili iliyopita. alicheza dakika ya 35 wakati mshambuliaji kijana wa miaka 21 ghafla kusimamishwa katika kiungo na kuanguka katika mechi dhidi ya Panathinaikos. inasemekana kuwa Mshambuliaji kapoteza fahamu kwa sekunde chache kabla ya kusafirishwa kwa haraka hospitalini kwa ajili ya huduma ya kwanza. Kwa mujibu wa uchambuzi, Michael Olaitan anasumbuliwa na myocarditis . "Ni alisisitiza" kwa mujibu wa madaktari . 
 Klabu yake imekuja kufahamisha wa penzi wao hali halisi ya mchezaji wao ili mashabiki wasiingiye na hofu ya kumukosa kwenye ligi ya mabingwa.
klabu imesema kwamba: mchezaji eko katika hali nzuri  na  bado yupo hospitalini na atapona siku chache tu.

JUHAINY UTHM
 je munamufahamu huu mchezaji? zamani kidogo alikua mchezaji wa Vital'o ila akukawiya sana kucheza kwenye daraja ya Kwanza ya hapa nchini. baada amejielekeza Swazilande, baada yakufanya vizuri
 akasajiliwa  Mozambike kwenye klabu ya  Chibuto Fc.
anaitwa kwajina ya JUHAINY UTHMAN, ni mrundi halisi kabisa ila profil yake ni kama inasahulikwa hapa nchini Burundi,.
mwaka wake wa kwanza tu nchini Mozambique(2012) amependezwa sana na ma klabu za ulaya kama Sporting na  SC Braga yote za (Ureno) Portugal.
kwenye ligi kuu ya Mozambique ameibuka mfungaji bora kwakujifungia bao 14. na kwasasa yupo Portugal kwenye klabu ya Royal Wood, wito tu ni kwa kamati nzima ya mpira wa hapa nchini Burundi iweze kumutafuta kijana wetu huu aweze kusaidia timu ya taifa, kwajili ni mchezaji mzuri kwenye upande wa kushoto na anaweza kucheza katikati.
JUHAINY UTHMAN

endapo kamati tendaji ikilala ao kuzubaha tutaweza kupoteza mchezaji mzuri sana ambaye ataweza kuleta matunda mazuri kwenye safu ya ushambuliaji kwenye timu ya taifa. ukitaka kupata habari zake zaidi unaweza kwenda kwenye google na unaandika Johane, utaweza kupata habari yake halisi na sio pekee yake tu, nje ya nchi pako wachezaji wengi ambao wanaitaji ukaribu wa viongozi wa nchi ili wawape moyo wakurudi kuisaidia nchi yao, bila ivo ma nchi mengine ipo inawavizia ilimuradi tu wawapate na wawageuze urahia.
JUHAINY UTHMAN
na mechi ya Urafiki kati ya Burundi na Rwanda imemalika kwa ma bao 1-1, mechi ilikua ya kupendeza sana na watu wamekuwa wengi sana na wengine wamekosa ata na fasi ya kukaa.
wageni ndio wameanza kufunga bao la kwanza kwenye dakika ya 15' kupitia mchezaji wao Michel Ndahinduka  na baada ya dakika kama 10 yaani dakika 25' ndio mchezaji Mrundi Saidi Ntibazonkiza akafunga goli lake nzuri lakungombowa.
Michel Ndahinduka
Saidi Ntibazonkiza

Hakuna maoni