MISHE-BOY

hii ndio mpangilio mzima wa mechi ya kimataifa ya Urafiki

ni hapo kesho tarehe 5 mwezi wa 3 mwaka huu wa 2014, ndipo kamati ya soka ulimwenguni FIFA imeweka hii tarehe kwa ma timu zote za taifa kucheza mechi ya Urafiki ao ya kupimana nguvu. ni fursa nzuri sana kwa ma kocha wa timu ili kuhanda wachezaji wao na kujua nani anaye faha na nani asiye faha kwenye timu.

timu ya taifa ya Burundi imejiandaha vizuri sana na wito kwa wachezaji wao wanao cheza mpira wakulipa nje ya nchi imefika vizuri sana, nikama wote wamewasili hapa nchini ila kuna wachache awakuweza kufika kwa sababu inayo julikana na kamati nzima ya soka ya Burundi. walio ngojelewa wamefika, kinachobaki ni mechi kuchezeka hapo kesho kwenye saa tisa na nusu. wchezaji kama Selemani, Nduwarugira Christophe (Lucio), Ferre, Demunga, ..., awakubahatika kufika kwajili wamesajiliwa huu mwaka tu na ni wapya kwenye klabu zao, ndio wapo kwenye mazowezi ili wazoweyana sana na wenzio.

 hebu cheki picha za wachezaji wa Burundi wakiwa mazowezini na utaona walio jiunga wakitokea nje.
Saido
hapo unamuaona Papy Faty, Pierrot, Tambwe...
Valery le capitain
cedrick
Rashidi, Valery, ...
Papy Faty
Valery
Cedrick
Pierrot

hii ndio mpangilio mzima wa mechi ya kimataifa ya Urafiki

 05 mars 2014
12:40 Japon
Nouvelle-Zélande

14:30 Inde
Bangladesh

15:30 Burundi
Rwanda

1600 Iran
Guinée

16:00
Russie
Arménie

16:00 Géorgie
Liechtenstein

16:00 Congo
Libye

16:30 Zambie
Ouganda

17:00 Lituanie
Kazakhstan

17:00 Azerbaïdjan
Philippines

17:45 Bulgarie
Biélorussie

18:00 Mauritanie
Niger

19:00 Burkina Faso
Comores

19:00 Afrique du Sud
Brésil

19:00
Algérie
Slovénie

19:00 Grèce
Corée du Sud

19:00 Hongrie
Finlande

19:00 Monténégro
Ghana

19:00 Albanie
Malte

19:00 Mozambique
Angola

19:30 République Tchèque
Norvège

19:30 Israël
Slovaquie

19:30 Bosnie-Herzégovine
Egypte

20:00 Chypre
Irlande du Nord

20:00
Colombie
Tunisie

20:00 Andorre
Moldavie

20:00 République de Macédoine
Lettonie

20:00 Namibie
Tanzanie

20:00 Sénégal
Mali

20:30
Turquie
Suède

20:30 Luxembourg
Cap-Vert

21:00
Roumanie
Argentine

21:00
Ukraine
Etats-Unis

21:00 Maroc
Gabon

21:30
Autriche
Uruguay

21:30
Suisse
Croatie

21:45
Allemagne
Chili

21:45 Irlande
Serbie

21:45
Belgique
Côte d'Ivoire

21:45 Pologne
Ecosse

22:45 Pays de Galles
Islande

22:00 Australie
Equateur

22:00
France
Pays-Bas

22:00
Angleterre
Danemark

22:45 Portugal
Cameroun

23:00
Espagne
Italie

00:00 St. Lucie
Jamaïque


 06 mars 2014
03:00
Honduras
Venezuela

03:30
Mexique
Nigéria

04:00
Costa Rica
Paraguay

Hakuna maoni