Flambeau De l'Est imeondolewa kwenye mashindishano ya ligi ya mabingwa barani Afrika
ni hapo tarehe tisa mwezi wa tatu mwaka wa 2014, ndipo klabu mbili ya Burundi imecheza mchezo wao wa marudio dhidi ya klabu kutoka Cameroun kwenye mashindishano ya ligi ya mabingwa Barani Afrika, mechi imamalizika kwa mabao tano bila jibu ya Flambeau de l'Est(5-0). mechi ya awali nyumbani Bujumbura Burundi, klabu ya flambeau imefanya vizuri kwa kupata ushindi wa bao moja bila dhidi ya klabu kutoka Cameroun, Cotonsport.
kwa mtazamo na habari kutoka Cameroun, klabu ya hapa nchini imelalamika sana mapokezi mbovu sana ya uko nchini Cameroun, kwamba wamepewa kwanza uwanja wamazowezi kwa ma saa na fasi ya kula ikawa tatizo na gari yakuwatembeza ilikua shida sana. ndipo kamati tendaji ya soka hapa nchini Burundi lazma wapeleke malalamiko yao kwenye CAF, kwajili hii mtindo wakuinyanyasa sana ma klabu ya Burundi vibaya wakati ikiwa nchi za nje na sio mara ya kwanza tumekwisha shuhudia mara kazaa klabu zetu zikienda nje ya nchi kwa michuano ya kimataifa.
ContonSport |
Don Bosco |
hii hapa matokeo rasmi ya mchezo
Post a Comment