MISHE-BOY

michezo na wachezaji

tuanze na habari ya mchezaji Mrundi ambae anaichezeya klabu ya A.S.TADJOURAH nchini Djibouri, ni Dumu Ndayishimiye.
Ndayishimiye Dumu
 machi ya ligi ya Djiboutie ili kuwa tarehe 11.03.2014  saa moja usiku walicheza na DIKHIL F.C wakapata ushindi wa bao 2_0, kwa mjibu wa ripota wetu nchini Djibouti, ametuambia kwamba, Mchezaji Dumu alikua anachungwa sana kwa sababu wamekwisha tambuwa kama timu yake inamutegemeya, ata ivyo awakufanikiwa kumudhibiti na ushindi akaisababisha makosa mengi karibu ya box na kupata goli za mipira zakutenga. 
Ndayishimiye Dumu (katikati)
 na kwenye  kombe ya Djiboutie  ilikuwa 1/8 finali ivi wamefaulu kuingia kwenye 1/4  finali, ni hapo tarehe  15.03.2014 saa kumi na moja walicheza machi ya championat na timu ya ma polisi inayo itwa GENDARMERIE F.C ni timu ngumu hapo Djiboutie wakailaza kwa bao 1 _ 0. mchezaji Dumu ndiye aliifungia klabu yake goli ya ushindi (A.S.TADJOURAH) bao lake amelifunga kwenye dakika 73, bao lakichwa na kueneza ma bao 3 kwenye mehi 4 za ligi na moja ya kombe ya Djiboutie. tuwafahamishe kuwa Ndayishimiye Dumu amejiunga na klabu yake ya Dibouti  kwa maleno tu ya kuisaidia ili isishuke daraja.
                     nzokira jeff           Ndayishimiye dumu                                
 mchezaji mrundi pia golikipa wazamani ya klabu ya Vital'o Fc na timu ya taifa ya Burundi, Nzokira Jeff.
Nzokira Jeff
hapo tarehe 16.03.2014, ndipo waliceza mechi yao ya ligi kuu ya Djibouti kwenye klabu yake ya ASAS Djibouti Telecom, kwasasa klabu yao ndio inao ongaza kwa mechi 18 bila kufungwa ata moja na wanabaki na mechi 2 kwa kumalizia msimu.walicheza na As port na kupata ushindi wa mabao mbili kwa moja, na kuwapelekea kubaki imara na kuwa na imani ya kuchukuwa kombe mwaka huu.
habari ya mchezaji Nemanja Vidic wa klabu ya Manchester United, ivi karibuni amemaliza mkataba na klabu yake ivi ametangaziwa kuama klabu yake ya Manchester United na msimu ujao atajielekeza Italia kwenye klabu ya Inter Milan.
goli kipa wa zamani wa Lyon ya Ufaransa tena mchezaji kitegemeo wa timu ya taifa ya Ufaransa, Hugo Lloris, inasemekana kuna uwezekano ya yeye kuamia kwenye klabu ya As Monaco kwenye lengo ya kucheza ligi ya mabingwa mwaka ujao.As Monaco inamalengo makubwa wakuimarisha klabu na kupata golikipa mwenye mahiri sana na ambae ni kitegemeo kwenye timu yake taifa kwasabu Subasic aenezi uwo umahiri.
 huu ndio musimamo wa mda ya ligi kuu ya hapa  Burundi (Primus Ligue)
ligi inaendelea na kunabahazi ya ma klabu iko na mechi pungufu, na zikifanya vizuri iaweza kuleta mabadiliko makubwa kwenye musimamo wa ligi kuu Primus Ligue.

Hakuna maoni