ebu cheki picha ya Show ya Smart Talk
ni hapa tarehe 22/03/2014, iliyo shuhudiwa na mashabiki wengi sana na wasanii mbalimbali wa hapa nchini wakiwemo kama Big Fizzo, Black-G, Mkombozi, T-max na wengineo, bila kusahau wasani kutoka nje ya nchi Jaguar kutoka kenya na Good Life inayo undwa na wasanii wa wili Radio na Weasel wote ni Raia kutoka Uganda.
mambo imeanza kama ivi:
mambo imeanza kama ivi:
ulinzi ulikua wakuridhisha na watu mbali mbali na wazungu pia wamekuwa wengi sana. wasanii mbali mbali ambao awakuwa wamepangwa kuimba siku hio wameingia ili kushuhudia wenzao na kuwapa sapoti kubwa.
Black G Africano |
msanii Djuma Marembo a k a Kama Black G Africano, kweli ameonesha kipaji kikubwa sana kwenye tamasha ya Smart Talk, amewafunika vigogo wengi ambao wamekuwa wanasubiria kuburudisha mashabiki ila dogo amekuja kwa style yake na kuonesha kipaji kikubwa na watu wengi sana kufurahia nyimbo zake kama Urihe, Oya, Ni wewe. na kwa sasa anakuja juu na nyimbo yakeya nyegera inayo pendwa na watu wengi upande wa hapa nchini na Rwanda pia.
baada ya kuwafurahisha wa fans wake ameshuka chini na kujibu kwa maswali ya watangazaji mbalimbali na kufunguka na kusema:
Black-G: kweli nafurahi sana kwa mpangilio mkubwa wa hii show, na ninaimani watu wameona utafauti kati ya wasani wa hapa na wa nje. nitaweza kusema tu kwamba, tunaweza tukiwezeshwa, tunafanya kazi nzuri sana kushinda ata wageni walio alikwa ila kipato chetu tungali tunanyimwa tu ila kwa miaka ya mbele kazi italipa tu.
kwa kweli wasanii wetu wamefanya kazi nzuri sana na mashabiki wakafurahia ki stamina ya wasani wa hapa kama Huu hapa
walianza kupana mawazo ya maandalizi na gisi yakuwafurahisha mashabiki wao, ni Big Fizzo na Mzee wa kazi Weasel wakichukuwa ndogo ndogo ambao wameita kama ni dawa ya show.
kwa kawaida yake Bigg Fizzo anajua kufanya show na kuwafurahisha watu na akipanda kuanza kuimba auwezi kutamani amalize. ndipo haliingia na Chany flow na kuimba iyo nyimbo yao wengi wenu munaifaham, basi watu wamerukaruka kwa sana na kuleta uvumi kwamba mtangazaji umoja anawindwa na mashabiki wa msanii Huu ambae ni Big Fizzo.
na waalikwa wameweza kuburudisha watu wengi hapo, wakati wazee wa kazi walipo ingia, Jaguar mzee wa Kipepeo ao kioo na wazee wa wili wa Good Life ambao ni Radio na Weasel.
ameleta uvurugu akatolewa nje na kupata adhabu |
Post a Comment