MISHE-BOY

wachezaji warundi wanaweza wakiwezeshwa

 washambuliaji hawa wawili warundi wanazidi kuonesha uwezo wawo nchi za inje
habari tunayo kwa sasa ni ya mchezaji hatari sana kutoka Burundi na anaye icezea klabu ya nchin jirani ya Burundi ya Tanzania kwenye klabu ya Simba ambae ni Amissi Tambwe, siku chache alikua anatafutwa kama dhahabu na ma klabua mbae amekua ghali sana nchini Tanzania.
 Mshambuliaji hatari kutoka nchini Burundi Amissi Tambwe nyota yake inazidi kungaa baada ya timu mbili zenye majina za huko nchini Tanzania na zinazowania ubingwa wa Ligi Kuu ya nchi hiyo msimu huu,Yanga na Azam,kutaka kumusajili kwajili ya msimu ujao. Tambwe,ambae ni raia kutoka Burundi, amekuwa kwenye kiwango kizuri msimu huu tangu atue Simba akitokea Vital ‘O ya Burundi ambapo kasi yake ya kufunga mabao ndiyo chanzo kikubwa cha miamba hiyo ya soka nchini Tanzania kumutafuta, akiwa amefunga mabao 19 katika ligi kuu.Habari zinazo tambaa sana ni kuwa Yanga na Azam FC wamevutiwa na kiwango cha straika huyo wa Burundi na tayari wameanza kufanya mchakato wa kumsajili kwa kuwa wanaona Simba haina matumaini ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao.

 Habari kamili ni kuwa tayari mazungumzo ya usajili yameanza kupitia wakala wa mchezaji huyo ambaye alimpeleka nchini Tanzania kutoka nchini Burundi. Mtu huyo amesema pamoja na michakato hiyo, bado Yanga na Azam hazijafanya mawasiliano ya moja kwa moja na Tambwe kwa kuwa bado ana mkataba na Simba. “Yanga na Azam zote zinamtaka Tambwe kwa ajili ya msimu ujao. bila kuzubaha viongozi wa Simba wamekaa chini na kufanya mazungumzo na mchezaji Tambwe na kupata makubaliano na mchezaji hatari na kumuongeza mkataba wa miaka miwili na kuweza kuzimisha uvumi na mipango za klabu kutaka kumuondoa kwenye klabu yake ya Simba.


 mchezaji mwingine Mrundi pia ambaye anacheza nchini Djibouti, Ndayishimiye Dumu.


ivi karibuni ni mshambuliaji hatari sana kwenye klabu yake  A.S. TADJOURAH Fc,ivi karibuni amekuwa anatafutwa sana na klabu nyingi tena vigogo kwa umahiri wake wakufunga magoli sana.kwa habari zinazo zagaa sana uko ni kwamba mchezaji hatari sana Ndayishimiye Dumu ivi karibuni amekwisha kuwa na mazungumzo na klabu ya Thailand na klabu inajulikana kwa jina ya Bankook Club. mazungumzo kati yake na klabu ya Thailand tayari imekwisha kamilika na kinacho baki ni yeye kumaliza musimu huu na klabu yake ya A.S. TADJOURAH Fc na msimu ujao ajielekeze Thailand ili kujiunga na klabu yake ya mpya ambao atakuwa sawa kimaisha na kisoka.

 mchezaji wakimataifa wa Togo na anaye ichezea klabu ya Tottenhamya Ungereza, Emmanuel Adebayor..walipo cheza machi dhidi ya Benfica Lisbonne kwenye kombe ya Europa ligue na kupata kipigo kwenye uwanja wao kwa ma bao 3-1 kwa ushindi wa Benfica Lisbonne.ndipo mchezaji kitegemeo wa Tottenham amepata maumivu makubwakwenye mguu wake  na ikamupelekea kupumzishwa kwa matibabu na awezi kushiriki kwenye mechi ya marudio ya ligi ya Europa.

Hakuna maoni