MISHE-BOY

Burundi inazidi kujihimarisha zaidi kwa mechi za kirafiki

 tuwafahamishe kuwa timu ya taifa ya Intamba Murugamba Junior ya wenye miaka chini ya 20, ivi leo ndipo wamewasili nchini Rwanda kwa kucheza mechi yao ya kirafiki na timu ya taifa ya Rwanda junior wenye miaka chini ya 20, hapo tarehe 27/03/2014.
hii ndio orodha ya wachezaji ambao wamejielekeza nchini Rwanda kwa huu pambano wakirafiki( Rwanda -20 Vs Burundi -20).

Hussein/Messager Buja
-Bienvenue/Messager Ngozi
- Moussa Omar / Flambeau
-David Nshimirimana / Flambeau
- Patient Muhuza / Royal Fc
- Uwayezu Nice / Messager Buja
- Issa / LLB
- Nassor / Athletico
- Bruce / Vital'o Fc 
- Pascal / LLB
- Fofo / Vital'o Fc
- Emery / LLB
- Hassan / Inter star
- Idrissa Ramadhan / Messager Buja
- Alexis / Athletico
- Fabrice Messi / LLB
- Kevin / Athletico
-Enock / Message Ngozi
- Olivier / Messager Ngozi 
- Manu / LLB
- Tresor / Athletico

* kocha na staff yake:
Rainer Wilfried , Massoud Irambona , Dany  na Amidou Hassan . 
NIYONZIMA Dominique ( D.T.N )

* Daktari (Docteur): Maronko.


na timu ya taifa Intamba Murugamba Senior, inajiandalia mechi ya kirafiki kwa mara yake ya pili baada ya kucheza na Rwanda(1-1), ivi karibuni ifikapo tarehe  26 /04/2014 watajielekeza Tanzania mjini Dar Es Salam.
n wachezaji ambao wameweza kuitwa kwenye hii pambano ni :

  • ARAKAZA Marc Arthur / Flambeau de l’ Est
  • BIHA Omar / Vital’o
  • RUGUMANDIYE Yvan / Athlético Olympic
  • Hakizimana Issa / LLB
  • Idi Juma Idon / Vital’o
  • MANIRAKIZA Aruna /  Congo Brazza
  • RUGONUMUGABO Stéphane / LLB
  • NKURIKIYE Léopold / Vital’o
  • KIZA Fataki / LLB
  • NKURUNZIZA D’Amour / Inter Star
  • RASHID Léon / LLB
  • NIMUBONA Emery / Congo Brazza
  • NDIKUMANA Yussouf / LLB
  • ABDALLAH Masudi / Vital’o
  • DUHAYINDAVYI Gaêl / LLB
  • NIKEZWE Raoul / Flambeau de l’Est
  • MOUSSA Mossi / Vital’o
  • NZIGAMASABO Stève / Vital’o
  • NAHIMANA Shasir / Inter Star
  • SHABANI Hussein / Flambeau de l’Est
  • NDARUSANZE Jean Claude / LLB
  • HAKIZIMANA Pascal / Flambeau de l’Est
  • IDI Juma Ballack / LLB
  • MURUTABOSE Hemedy / Guêpiers du Lac
  • ABDOUL Razak Fiston / LLB

na wachezaji ambao wamekwisha kuonesha uwezekano wakujiunga na wenzao ni :

 Amissi Cédric , Karim Machenze na FUAD wote wa Rayon sport/Rwanda
. Kaze Gilbert  na  Tambwe Amissi /wote wa Simba Sc/Tanzania
. Kavumbagu Didier wa Yanga Fc/ Tanzania

"kwa wachezaji wengine wengi ambao ivi karibuni wataweza kuitika kuichezea Timu ya Taifa, mutakuja kuwafahama zaidi hapa, we fatilia matangazo ya hii blog..."

Hakuna maoni