MISHE-BOY

hi ndio habari ya michezo inayo zungumziwa sana


habari nyingi inayo semeka sana hapa mjini ni ya Mheshimiwa bwana Révérien NDIKURIYO, ivi karibuni yupo ziarani Ulaya na lengo lake kubwa nikuongea na wachezaji warundi wanao chezeya ligi ya kulipwa ili awasikilizishe faida gani ya kuichezea timu yao ya taifa na wasiangaike na kusita kuja kuisaidia nchi yao ili ishiriki kombe la Afrika 2016. kwa habari tumezipata ni kwamba Mheshimiwa Révérien yupo na mazungumzo na mchezaji Gael wa Newcastle na Berahino wa West Brom ili waichezeye timu yao ya Burundi, endapo wachezaji watakubaliana na Mheshimiwa Révérien.
huu ni mchezaji Gael wa Newcastle ya Ungereza ambae yupo na umri wa  miaka 20 na amefika Ungereza akiwa na miaka 11.
Saido Berahino Mchezaji wa West Brom Ya ungereza
wachezaji amboa tayari tunawazoweya wanao cheza nje kwa upande wao watawasili hapa na wengineo tayari wamekwisha wasili na kuanza mazowezi na wenzio ila kunamchezaji moja Dugary yeye akuitwa kwa sababu kamati ya mpira ya hapa nchini aijuwi maendeleo yake ya kisoka, nawengine wametemwa kwa sasabu ya levo yao kushuka kama Makenze, Fwadi na wenguneo.

tulipo ojiana na mchezaji Nduwarugira Christophe Alias LUCIO, mchezaji wa zamani wa lydia lydic ambae amesadjiliwa na klabu ya Mozambique amesema kwamba kwa mechi ya kimataifa ya kupimana nguvu  dhidi na Rwanda ya tarehe 5 mwezi wa 3 atokuepo.

Worldnewz: vip hali bro, uko safi na nipe basi habari yako uko na gisi unavyo jipanga kuja kucheza mechi dhidi ya Rwanda

Lucio: safi tu bro. uku niko safi kabisa na kuusu mechi siwezi kuja kwajili ligi uku inaanza mwezi ujao na tupo tunajiandaa sana kuusu tuanze ligi tumezoweyana.

mechi ya kupimana nguvu dhidi ya Burundi na Rwanda ni hapo tarehe 5 Mars hapa nchini Burundi kwenye uwanja mkuu wa Mwanamfulme Prince Louis Rwagasore.mara nyingi sana Burundi ilikua aichezi mechi ya kujipima nguvu na nchi yoyote ya Afrika ila kwa mabadiliko makubwa sana upande wa viongozi wanazidi kuleta mabadiliko kwetu sisi tunaitaja kwamba nimaendeleo ya soka ya hapa nchini kwakucheza mechi mbali mbali ya kujipima nguvu na kuongea na wachezaji ambao wanaishi nje na kuwasawishi ili warudi kuichezea timu yao ya asili.


na mshambuliaji hatari sana wa Simba ya Tanzania na kwa sasa yeye ndiye mfungaji bora wa ligi kuu ya Tanzania.
tumeojiana naye ametujibu na kutuakishia uwepo kwenye mechi ya tarhe 5

worldnewz: vip hali mkubwa Tambwe  unajisikiaje na hali halisi ya uko? kuhusu mechi dhidi ya Rwanda unajipangaje?
 Tambwe:safi sana uku niko safi sana na jisikia kama niko nyumbani tu na kuusu mechi dhidi ya Rwanda nitakuja Mungu akipenda juma tatu ili nianze mazowezi na wenzangu
  upande wa Djibouti sasa pamewaka moto kwa mchezaji aliye jiunga na klabu ya A.S.TADJOURAH ni Ndayishimiye Dumu
 ni hapo jana tarehe 28/02/2014 ndio wamekua na mechi ngumu sana kwa mujibu wa ripota wetu ambae ameshuhudia mechi iyo na kutuakikishia kwamba ni klabu 2 (A.S.TADJOURAH vs ARHIBA) pinzani kutoka jiji moja ya hapo Djibouti. basi watu wamekuwa wengi sana kushuhudia mechi iyo.
kwenye dakika 10 ya mwanzo klabu ya mchezaji Dumu wamekuwa tayari wamefungwa goli 1. ma beki wa klabu pinzani wamekua wanamuchunga sana mshambuliaji Mrundi Dumu ila naye akafanya kila mbinu na kupata kosa ya kutenga na wakapata goli ya kusawazisha kwenye kipindi cha kwanza.

kwenye kipindi cha pili mambo ikabadilika, kwasababu Mshambuliaji Mrundi Dumu amewasoma sana ma beki na akaja kuwasumbuwa na kufanikiwa kupata goli lake kwenye dakika ya 50 na akaendelea kutowa pasi nzuri sana zikaja kuzaa matunda mazuri za goli 2, mechi ikamalizika kwa bao 4-2 kwa ushindi wa klabu ya mshambuliaji hatari sana kutoka Burundi Dumu.

cheki gisi alivyo andika kwenye ukurasa wake wa facebook baada ya kupongezwa na mashabiki wa klabu yake ya mpya:

Thankx my GOD to give me another winning for today 4_2 with ARHIBA i scoring a second goal in 50minutes. grace of GOD i have three games .three winning and 2 goals in 3games. thankx my lovely GOD.

Hakuna maoni