MISHE-BOY

wachezaji 3 warundi wazidi kuonesha vipaji vya hali ya juuu nchini Djibouti


hapa Burundi ili kuandaa vijana wetu vizuri kama kweli tuko namoyo wakushiriki muchuano wa CAN 2015,  inatubidi kamati la shirikisho la soka ya hapa nyumbani kujitoleya kutafuta habari za wachezaji wetu wanao chezeya nje ya nchi.
kuna bahadhi ya wachezaji wanajulikana kama wanacheza nje wakati uko awachezi.
 timu ya taifa inabidi iwe na wachezaji mahiri sana na wanao zoweya mechi mengi tofauti.
habari tumezipata kwa ripota wetu anaye ishi Djibouti, anapenda sana kutupa gisi wachezaji wetu wa 2 wanao chezea klabu ya ASAS/DJIBOUTI  TELECOM ni Nzokira jeff na Andosango Freddy wanzidi kufanya vizuri sana kwenye iyo klabu na wanawaamini sana,kwa sasa klabu yao inashika usukani na wanabakiza mechi 2 tu wamalize ligi na inapelekeya tayari wamekwisha kuwa na imani ya kutawaziwa wabingwa kwa mara ya 3 mufululizo.
 kwa kuifunga klabu mpinzani ya GARDE REPUBLICAINE 2-0 kwa ushindi wa ASAS/DJIBOUTI  TELECOM
Nzokira Jeff

tulipo ojiana na kipa wazamani ya Vital'o Fc na wa timu ya taifa Nzokira Jeff amesema;
Jeff: Wangu jana stades nzima ni jina la jeff tu kweli mungu asifiwe, na aya yote ni kwajili ya duwa zenu uko na bidii ninazo kwa sasa na uzowefu pia, kwa kutowa penalti kwenye mechi kama hii uku wanaita ni classico inayo shuhudiwa na ma elfu za watu wa hapa DJIBOUTI.

Tukumbuke kuwa jana tarehe 21 mwaka hu ASAS/DJIBOUTI  TELECOM walikua na mechi dhidi ya GENDARMERIE na ushidi ulikua upande wa ASAS/DJIBOUTI  TELECOM kwa mabao 3-1.
Nzokira Jeff   &  Andosango Freddy
 
Nzokira Jeff  & Dumu

habari nyingine ni kwa mchezaji Mrundi anaye julikana kwa jina la NDAYISHIMIYE DUMU, bahadhi ya mashabiki wa Inter Stars wanamfahamu wakati wamemusajili akitokea kwenye klabu ya Aigle Noire alipo kuwa ni mchezaji wa upande ya ulinzi ila kwa uzowefu wake kwenda kuchezea nchi mbali mbali amekuwa ni mshambuliaji hatari sana.
  mwaka huu alikua hapa nchi na alikua anatafutwa na klabu kazaa ila wamekuwa wemekwisha ongea na kumaliza makubaliana na klabu ya Prince Louis, kilicho baki ni pesa kukabidhiwa na manager anaye mumiliki. kwa bahati nzuri kwake ila bahati mbaya kwa klabu ya Prince Louis, amependezwa na klabu ya DJIBOUTI klabu inaitwa  A.S.TADJOURAH,


ndipo manager wa club A.S.TADJOURAH ameongea na mchezaji na wakakubaliana na manager wamchezaji ili kwenda kujiunga na klabu ya DJIBOUTI ya  A.S.TADJOURAH, kwenye historia tu fupi ya iyo klabu yake ya mpya ilikuwa na fasi pabaya sana ndipo wakaanza kutafuta wachezaji wenye uwezo wakuweza kuokowa iyo klabu isiteremuke kwenye daraja ya pili. 

tulipo ojiana naye akiwa Djibouti, ametufahamisha kuwa alipo fika Djibouti akutegemeya kama ataweza kupokelewa ivo na ikamupa bidii sana na kujiamini ata kama klabu hipo kwenye hatari.
worldnewz: asww, vip hali bwana Dumu? unajisikiaje ya hali ya ewa ya uko na izi siku chache umekwisha kujiunga na iyo klabu yako ya mpya mambo inaendeleaj? 

Dumu : w3, safi sana yaani niko fiti sana uku, powa sana na mimi uku nimekuja yani kusaidiya iyi timu isi shuki daraja ju walikuwa awaja funga match ata moja walikuwa wamesha fungwa match tatu zote ila toka nifike tumesha cheza mechi mbili tuna funga ya kwanza tulifunga 3_1 mimi njo nilisababisha ayo ma goal ju nilikuwa na chungwa na watu wa tatu mu cameroun umoja na wa djiboutie wawili ila niliwa sumbuwa sana hadi tuka pata ushindi. naya jana njo ilikuwa match ya pili tuka funga 4_2.

 na kwasasa anaonekana kuwa mshambuliaji wa hatari sana mwenye ku tisha uko Djibouti na inamupelekeya kutafutwa na klabu nyingi hapo tena vigogo.
machi ya kwanza wamecheza  na DIKHIL.F.C wakayifunga 3_1 na yeye ndiye  alisababisha ayo magoal yote. match ya pili jana walicheza na UNNIVERSITY OF DJIBOUTIE waka yifunga 4_2 walianza kuwafunga 2 alafuDumu kwene dakika 25 nikafunga goal lao la kwanza . na wakapata na mengine 3 kwa mchango wake.

Hakuna maoni