MISHE-BOY

Nzokira Jeff na Andosango Freddy wamesajiliwa



Nzokira Jeff
Nzokira Jeff  ni mchezaji maharufu sana wengi wenu wakazi wa nchini Burundi munamtambua sana, hapo awali amekua anaichezeya klabu ya vital'o fc kama goli kipa tena amekwisha wai kuichezea timu ya taifa ya Burundi.
Nzokira Jeff inBurundi junior


mwaka ulio pita amekua anaichezeya klabu ya Djibouti Telecom ya nchini Djibouti na amejipatia sifa nyingi sana katika hio klabu, kwanza amepelekea kuichukua kombe ya ligi kuu ya Djibouti na pia amechaguliwa kama goal keeper (gardien)  wa kwanza katika ligi hio(2013).
Nzokira Jeff Telecom
 na ivi karibuni amekua hapa nyumbani Burundi kwa likizo, na tulipo ojiana naye ametufahamisha kuwa mambo ni sawa na timu yake ya Djibouti. na safari ni kesho asubuhi kweelekea Djibouti ili kujiandaa na timu yake na kuanza mazowezi na wenzake.
Nzikira Jeff  Win celebrety
na alipo kuwa hapa klabu nyingi za hapa nyumbani zilikua zinamuitaji sana ila yeye amekwisha kuwa mchezaji wa kulipwa na amekua na kandarasi(contrat) na timu yake  ya Djibouti Telecom.
Andosango Freddy
 viongozi wa Telecom wamefurahishwa na profil ya mchezaji Andosango Freddy mchezaji wa LLB Academic na wakaongea na viongozi wa timu yake na wakafikiana kwenye makubaliano yakumsajili. kiwango cha usajili wake akijulikani kwa sasa.
Andosango Freddy

ifahamike kuwa Andosango ni mchezaji mwenye asili ya DR Congo, na ifikapo kesho tarehe 19/09/2013 atajielekeza Dijouti na kujiunga pamoja Nzokira Jeff katika iyo Timu ya Djibouti Telecom.
Nzokira Jeff
Andosango Freddy

upande wa Nzokira Jeff amekwisha zoweya ligi ya Djibouti na mazingira ya uko ila mwenziye itambidi azoweye hali ya hewa.na wataondoka pamoja.
kidiaba & Nzokira Jeff
Djibouti Telecom FC

Hakuna maoni