MISHE-BOY

timu 10 zilizo fuzu

baada ya michuano ya kungombania ticketi ya kuelekea kwenye kombe la dunia nchini Brazilia, makundi  8 barani Afrika zilichuana na zimefikia ukingoni na kupatikana timu 10 ambazo zimefudhu duru la mwisho ya michuano na leo hii ndio imefanyika uchaguaji ambao zitapambana timu mbili mbili  ili kupata timu 5 zitakazo wakilisha Afrika kwenye kombe la dunia 2014 nchini Brazilia. na hii hapa ratiba rasmi gisi makundi itakavyo pambana:
 na upande wa chan 2014 ugawaji wamakundi itafanyika tarehe 18 september mwaka hu nchini Caire (Egypte)

Hakuna maoni