MISHE-BOY

Chan 2014, makundi ilivyo pangwa

gisi tulivyo wajulisha katika habari yetu na leo hi ndio ilifanyika ugawaji wama kundi ya Chan 2014 nchini Misri(Egypte) itakao dhuru nchini Afrika ya Kusini( Afrique du Sud).
kwa mara yake ya kwanza Burundi imepangwa katika kundi moja na wajirani wao wa  Congo RC, ninaimani itakua kundi vutiyo sana kwa wapenzi wa soka hapa nchini Burundi.
ebu tizama gisi makundi ilivyo pangwa:
-Groupe A : Afrique du Sud, Mali, Nigeria, Mozambique

-Groupe B : Zimbabwe, Ouganda, Burkina, Maroc

-Groupe C : Ghana, Libye, Ethiopie, Congo

-Groupe D : RD Congo, Gabon, Burundi, Mauritanie

Voici la composition des groupes du CHAN 2014 :

- See more at: http://www.apanews.net/news/fr/article.php?id=207831#sthash.dE5QyUwm.dpuf
tuwafahamishe kuwa Chan ni kombe inayoshirikisha wachezaji wakimataifa wa Afrika wanao chezea soka ya nyumbani tu ( les joueurs locaux).

Hakuna maoni