wachezaji wa Algeria wanazidi kuendelea kutikisa uhamisho barani Ulaya
![]() |
Ghilas Nabil |
wachezaji wa Algeria wanazidi
kuendelea kutikisa uhamisho, kwa sababu baada ya kusaini ishak Belfodil katika timu ya Inter Milan ya nchini Italia, ni zamu ya Ghilas Nabil hivi karibuni mkataba wake na FC Porto kuwa sahihi. Vyombo vya habari nchini Portugal utangaza ujio wa Nabil Ghilas katika timu ya Fc Porto baada ya likizo yake na ili kutia saini mkataba wake na klabu ya zamani Rabah Madjer na kuanza kabla ya msimu ambayo itafanyika nchini Uholanzi.ni pongezi sana kuona wa Afrika tunazidi kusonga Mbele kwa kusajiliwa katika timu za ulaya pia na kucheza ma Ligi kuu za ulaya.
![]() |
Ishak Belfodil |
Post a Comment