MISHE-BOY

michezo: barcelona

timu ya Barcelona na PSG ipo mbioni kwa kumusajali David Luiz mchezaji wa chelsea na mwenye asili ya Brazila, ifahamike kuwa kocha mpya wa chelsea Mourinho amtaki ata kidogo huu mchezaji (David Luiz), basi inapelekeya timu vigogo kumugombania kuwa ni mchezaji bora zaidi. timu ya Barcelona inamuitaji kwajili wameona kwamba wamekwisha mkosa Thiago Silva na PSG inaitaji pia kuwaweka wachezaji hao wa 2 kwenye timu moja ili wasiwe na wasisi upande wa ulinzi.uku timu ya Barcelona ulinzi wao ni wa wasiwasi. chelsea imeweka wazi kuwa awawezi kumuruhusu mchezaji wao kuondoka bila milioni arubaini(40.000.000 €).


Pepe Guardiola naye akusita kuipongeza sana timu ya Barcelona kwa usajili wa Neymar, amesema kuwa timu itakuwa timu nzuri sana kwa ma star wa 2 yaani Messi na Neymar na itakuwa inaogopwa sana katika ligi ya kuu ya Espania pia katika Champions league.

Hakuna maoni