MISHE-BOY

Sport | Tazama picha za mechi kati ya Burundi na Mali (1-1)

Michezo ya kuwania kufuzu Kombe la Afrika CAN2019 itakayofanyika huko Cameroon imeingia katika wiki yake ya 3 hukukatika kundi C timu ya taifa ya Burundi  ililazimika kwenda sare ya bao 1-1 dhidi ya Mali, mchezo uliyofanyika kwenye uwanja mkuu wa Mwana Mfalme Louis Rwagasore Oktoba 16, 2018 saa tisa kamili.

Tazama picha chache za  mchezo huyu hapa :















































Hakuna maoni