Sport | Ma Staa wa muziki waliosapoti timu ya taifa Intamba dhidi ya Mali
Ma Staa wa muziki wa Buja Fleva tulio bahatika kuwaona kwenye uwanja
mkuu wa Mwana Mfalme Louis Rwagasore mjini Bujumbura wakiisapoti timu
yao ya taifa Intamba Murugamba ikicheza dhidi ya Mali ni pamoja Big
Fizzo, Sat B, Double Jay na Gaga Blue wakishuhudia mechi ya kuwania
kufuzu Kombe la Kimataifa la Afrika CAN2019, wakiwa kwenye sehemu tu ya
kawaida kuliko kuketi jukwaa kuu kama ilivyokuwa kwa viongozi na kwa ma
staa wenzao.
Pia alikuwepo nahodha wa timu ya taifa Yamin Seleman na Lule Birhof wakishuhudia mchezo huwo, Seleman hakucheza kwasababu ya majeraha.
Post a Comment