MISHE-BOY

CANU20 2019 : Kocha wa timu ya Intamba U20 atangaza orodha ya wachezaji 29

Alhamisi Januari 11, Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Burundi ya wachezaji wa soka chini ya miaka 20, Joslin Bipfubusa atangaza orodha ya wachezaji waliochaguliwa ambao wataanza maandalizi ya kuandaa michuano ya kombe ya Mataifa ya Afrika CANU20 2019 iliyopangwa kuanza February 02 huko Niger..

Intamba U20 watacheza mchezo wa kirafiki Jumanne dhidi ya timu ya taifa ya Uganda U20.

Orodha ya Wachezaji waliochaguliwa :

1.RUKUNDO Onésime (Messager Ngozi) 

2. KITENGE Ally (Buja City)

3. NDIZEYE Aimé Fales (Aigle noir)

4.SELEMANI Moustafa (Aigle noir) 

5.NDIZEYE Eric (Musongati Fc)

6.MURYANGO Moussa (Vital'o ) 

7.NDORIYOBIJA Eric(Stand Utd)

8.NAHIMANA Steve (Kayanza UTD) 

9.HAKIZIMAN Héritier (Aigle noir)

10.NDAYE Chancel (Rukinzo Fc) 

11.BIGIRIMANA Ramadhan(Stand Utd)

12.MURYANGO Mabano Shabani (Aigle noir) 

13. EZA Armel (Kayanza UTD)

14.NSHIMIRIMANA Jospin (Aigle noir) 15.MBIRIZI Eric (Stand UTD)

16.MUSORE Aaron (Musongati Fc) 

17. NAHIMANA Guy (Buja City)

18. RAMADHAN Pascal (Musongati Fc) 

19. GAKIZA Aime (Messager Buja)

20.KANAKIMANA Bienvenu (Aigle noir) 

21. DUSABE Olivier (VITAL'O)

22.MAVUGO Cédric (Aigle noir) 

23.SHAKA Bienvenue(Etoile du sahel )

24.ULIMWENGU Jules(Sunrise)

25. IRAKOZE Saidi (Musongati Fc)

26.RUKUNDO Therence (KAYANZA UTD)

27.MOHAMED Amissi (Nac Breda)

28.NIYONGABIRE Pacifique(Adelaide Utd)

29.NDAYISHIMIYE Mike Trésor (NEC Nijmegen). 

Hakuna maoni