MISHE-BOY

INTAMBA MU RUGAMBA HIPO KAMBINI

timu ya taifa imeingia tangu jana kambini kwa kujiandaha mechi ya hapo ijumaa pili ijayo hapa nyumani dhidi ya timu ya taifa ya Sudan, ni muchezo wa kwanza,Burundi ikifanikiwa kuwatowa hao wa Sudan itakuwa inajipatia ticket moja kwa moja kuelekeya uko Afrika ya Kusini, tuwafahamishe kuwa ni kombe ya CHAN( wachezaji wanao chezeya nyumbani) itadhuru inchini Afrika ya kusini, basi kitu cha muhimu timu ya Burundi inawaomba ni mchango wenu  ya kuwapatia wachezaji ata maji baada  ya mazowezi kwani ivi watakuwa wanafanya mazowezi asubuhi na mangaribi basi ni kwenu  kuwa na roho ya imani na ya kupenda timu yetu itushirikishe uko Afrika ya kusini ikiwa inajuwa kuwa warundi wote wapo nyuma yao. ata muchango wako wa 50fbu inatosha kwani umoja ni nguvu, karibuni kwenye uwanja mkuu kila siku, tusaidiye timu yetu.

Hakuna maoni