Video : Tazama Sadio Mané akifanya usafi Mskitini huku Liverpool
Mshambuliaji wa Liverpool Saido Mané alionekana katika Mskiti unawo patikana jirani ya Liverpool, ambako alionekana akisafisha choo cha Mskiti kwa unyenyekevu kama jinsi tunavyo shuhudia kwenye video iliyotolewa kwenye vyombo vya habari vya kijamii.
Msambuliaji huyo alionekana akiwasaidia waamini wengine kwenye mskiti ambapo anapendelea kusal mara kwa mara,.
Mané ni mchezaji pekee hajawahi kuwa na sifa au skendo ya wanawake, alijitolea pekee yake kwa kutoa Euro zaidi ya 150.000 kwa ajili ya ujenzi wa chuo nchini Senegal, halafu akatoa jezi 300kwa kijiji chake kabla ya mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa.
Tazama hapa :
Post a Comment