MISHE-BOY

Sport | Morocco inataka kuungana na Algeria na Tunisia kuandaa kombe la Dunia 2030

Nchi ya Morocco bado haijakata tamaa kwa kuandaa Kombe la Dunia baada ya kukosea kwa mara tano mwezi Juni. 

Morocco inarudi tena kuwa mgombea wa kuwania kuandaa Kombe la Dunia mwaka wa 2030,morocco inataka kuunganisha ushindani na nchi nyingine. Ikiwa wajirani zake Algeria na Tunisia wameonekana kukubali, ufalme wa Morocco utapambana na Hispania na Ureno.

Mbali na kukata tamaa, Ufalme wa Morocco umetangaza kuwa itakuwa tena mgombea toleo nyingine mwaka wa 2030. Ili iweze kufikia malengo yake, Morocco inataka kuonesha upinzani wake  kwa kupiga jitihada ya pamoja.

Hakuna maoni