Msanii wa muziki wa Burundi Fleva, Win Divin ameachia video mpya ya wimbo wake unaobeba jina la Romantic akishirikiana na Marembo.
Kuwa wa kwanza kutazama hapa na kama wewe ni msanii au mchezaji wa soka na unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305
Post a Comment