Sport | Timu 5 wapewa kipaumbele kuchukua ligi ya Mabingwa msimuu huu na Pirlo
Ligi ya Mabingwa kama jinsi inavyoelezwa na waangalizi wote kama ni mashindano ya kifahari zaidi. Ikiwa Real Madrid imechukua kombe matatu iliyopita, vilabu vingine vina uwezo wa kushinda.
Andrea Pirlo alitoa maoni yake kwajili ya swali hilo.
Alipoulizwa na Sky Sport mchezaji wa zamani wa Juventus amesema pia amaona klabu yake ya zamani kuchukua Kombe kwa njia yoyote.
"Juventus inaweza kushinda Ligi ya Mabingwa mwaka huu, waliweka timu vizur na watambana ila kuna vilabu tatu au nne wanaweza kushinda pia kombe hii, kinyume na juventus kuna zingine zenye nguvu kama Mancheste City, Madrid, Liverpool na Barcelona."
Baadaye alitaja timu anayopenda sana msimu huu katika Seria A, bila shaka alitaja timu yake nyingine ya zamani, AC Milan.

Post a Comment