MISHE-BOY

New Video | Rally Joe - Mbera | (Official Video) | Download Mp4

Msanii wa muziki wa Buja Fleva, Rally Joe ameachia video mpya ya wimbo wake unaobeba jina la MBERA.

Kuwa wa kwanza kutazama hapa na kama wewe ni msanii au mchezaji wa soka na unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305.

Hakuna maoni