Msanii wa muziki wa Burundi Fleva, Madiba Tha classic ameachia video mpya ya wimbo wake mpya unaobeba jina la MISS U I MAMA.
Kuwa wa kwanza kutazama hapa na kama wewe ni msanii au mchezaji wa soka na unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305
Post a Comment